Genetics: Watanzania wengi ni carrier wa non-tongue roller

we mthenzi nn? nani kakuambia uje kutuabitha hapa jukwaani.....
 
Mi nlivyoona tongue rollers ...Nkajua itakuwa ni ule mchezo wa kutembea na viatu vya matairi kwenye lami sa nlivyoona tongue rollers nkajua ni kutembea kwa ulimi kwenye lami....Nlitaka kuthema hawa wadhungu thatha tufafukuthe tu maana watavunja meno watoto wetu
 

Mfano uliotoa wa 's' na 'thi' haviendani kabisa na picha ulizoweka hapo. Kwa kifupi mada yako ina walakini kisayansi i.e. unatudanganya. Kwanza tunapozungumza ulimi hau-roll bali una-curl hasa its front part i.e. the tip, na pia una-spread.

Sasa madhara yake ni nini?
 
tongue rolling ina umuhimu gani?
 
Sina uhakika saana kama non-tongue rollers wanakua na 'kithembe'.
 

Point of protection.
 
Tongue rolling haina uhusiano na matumizi ya "s" au "th"

Mimi ni non tongue roller lakini sina kithembe

Njoo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…