Uchaguzi 2020 Geneva: UN Rights Chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu! Hii ni nchi huru, hao unaowategemea hawatakusaidia chochote na wao wapo kwa maslahi ya nchi zao.
Hujui unachokisema. UN ilianzishwa after WWII baada ya watu kama JPM; Hitler na Musolin kujiaminisha kuwa wanaweza kuwatawala watu wao na kuwafanya chochote wanachotaka. TZ ni member wa UN na inalazimika kufuata taratibu na mikataba yote waliyosaini na kama uta i violate unawajibishwa kimataifa wether ni nchi huru au la. UMENIPATA wewe kilaza wa kusoma?. Hata jirani akimpiga mkewe lazima majirani watatoka kuamua pale inapobidi na ikiwezekana kumfikisha mwanaume kwenye vyombo vya sheria. Huyo mume hawezi sema huyu ni mke wangu na hii ni ndoa yangu. Na sisi tulioumizwa tumeomba msaada wa majirani watusaidie
 
There isn't any tense situation inTanzania. The country is now on a normal course after the 28/10/2020 General Elections and that the winner has been announced and the defeated have been known. What is happening is that some contestants in this GE came with their pre - planned RESULTS in their minds and in their POCKETS. This is depicted by their words that if they are not declared winners, they will go on streets for ENDLESS VIOLENT DEMONSTRATIONS. In fact, it is such words that ended in their arrests. ARRESTS, is a common and logic course of action for people of that type. This is done all over the world, even in Europe!
 
Tell them, the issues of human rights has no room for few people who have the intention of destructing the peace and harmony of our country Tanzania. Tanzania we can not tolerate any kind of disturbance regading our peace and hamorny.
 
Wapinzani, hivi kwann huo umoja wa mataifa haujaingilia kati na kusema lolote kuhusu Trump kuibiwa kura?
Nadhani ingekua vizuri umoja wa mataifa uingilie kati madai ya Trump ili apate haki yake.
 
Mbona wanachelewesha mambo?

"Jiwe ni sikio la kufa sio wa matamko huyu tumjuavyo"

Piga simu ICC watoe warranty halafu USA watoe offer ,uone kama zero hajamuarrest boss wake
😂😂Mambo sio simple hivyo Kama unavyodhani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu! Hii ni nchi huru, hao unaowategemea hawatakusaidia chochote na wao wapo kwa maslahi ya nchi zao.
Hao wanaojifanaya wanazingatia haki za binadamu, kila kukicha wanawaua watu weusi kwenye nchi zao, Je watu weusi sio binadamu kwenye nchi zao??
 
Hii ni habari njema sana. Dunia itatuelewa tu.

Lissu anaporudi ulaya kukinukisha salama kutokea huko nasi hatutapumzika. Tutabanana hapa hapa.

Kitaeleweka tu!
WENZIO WAMESUBIRI TANGU 1995, BADO TANZANIA IKO SALAMA CHINI YA CCM NA ITAENDELEA, KERO ZA WANANCHI ZINAZIDI KUPUNGUA, BADO VIJIJI 2800 KUPATA UMEME KATI YA 12000, BAADA YA HAPO TANZANIA ITAKUWA NCHI YA KWANZA AFRIKA KUTOA UMEME KWA ASILIMIA 99% KWA WANANCHI WAKE
 
Halafu Tanzania tutaendelea kupata mafanikio zaidi kupitia kiongozi wetu tuliyemchagua Jemedari, Mchapakazi na Maridadi kabisa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
 
Majirani zenu ni Kenya, Uganda, Ruanda, Burundi nk. Mbona hamkuenda kuomba msaada kwa nchi jirani za Africa mmekimbilia ulaya na marekani??
 
All grounds unprofound,We have our own democracy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…