Geneveive Nnaji: Mwigizaji tajiri Africa; ona mijengo yake

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Geneveive Nnaji mwenye miaka 40 Ni moja wa waigizaji wanaoheshimika zaidi nchini Nigeria na kiwanda cha uigizaji cha Nollywood.
Nnaji Ni muigizaji asiependa makuu Wala Kiki.
Nchini Nigeria anaheshimika zaidi na kupendwa kutokana na sifa kubwa ya kutobadilisha rangi yake na kuishi simple japokuwa anautajiri mkubwa.
Geneveive alianza kuigiza wakati akisoma shahada katika chuo kikuu Cha Lagos.
Mwaka 2018 Geneveive Nnaji alipiga pesa ndefu zaidi baada ya movie yake LionHeart kununuliwa na Netflix kwa milioni $3.5 za kimarekani.
Kwasasa muigizaji huyo anamalizia mjengo wake mkubwa zaidi Real Estate mwenye upana wa mita zaidi ya 50 uliopa Abuja kwa ajiri ya biashara na ofisi mbalimbali.
Hii Ni baadhi ya mijengo yake iliyopo Nigeria na Ghana.

Wasanii wa Bongo Movie nna Cha kujifunza hapa maana siku hizi kazi mnayofanya Ni kuzindua miradi ya serikali Mara mtembelee standard guarge, treni ya umeme na shughuli za chama
Screenshot_20190311-115015~2.jpeg
Screenshot_20190311-114900~2.jpeg
Screenshot_20190311-114955~2.jpeg
Screenshot_20190311-114937~2.jpeg
Screenshot_20190311-115509~2.jpeg
Inst-image-8.jpeg
Inst-image-6.jpeg
Inst-image-7.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio waigizaji tu wanaotakiwa kujifunza. Kila mmoja kwa nafasi yake ajitahidi kutumia fursa na kujiletea maendeleo. Hauwezi kuwabeza waigizaji kwamba hawana kitu endapo na wewe hauna cha maana unachokifanya.
 
Upo sahihi laikini tunawazungumzia waigizaji kwasababu Ni watu waliobahatika kuwa na influence kwenye jamaa.
Hapa Bongo waigizaji wetu Kama wamesahau majukumu yao ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamko mdogo katika tasnia hiyo pia elimu ndogo achilia mbali bajeti kiduchu vyote hivyo changanya na dvd moja ya elfu tano mnaangalia kijiji kizima au mtaa mzima kwa kupokezana plus burning hapo ndio utajua bora wali nyama kuliko walimwengu.
 
Wasanii wana sehemu zao za lawama na serikali pia,Tanzania hatuna mifumo rasmi ya kulinda kazi za wasanii na ndio maana wasanii kila siku wanalalamika njaa,swala la hati miliki linapigwa danadana na wanasiasa wetu wana kazi ya kuwatumia wasanii pindi wanapowahitaji.

Wasanii nao wajinga wakipewa vihela vidogo na wanasiasa wana lizika na kuzunguka nao kwenye kampeni,sizani kama wanawaeleza matatizo yao.Kuna wengine wapo karibu na viongozi baada ya kuzungumza matatizo yao wanaanza kuwaomba hela ili wakatatue matatizo yao binafsi

Wasanii hawana umoja kuanzia wa bongo movie mpaka bongo fleva makundi makundi kibao,chuki ,wivu na roho za husda zimewajaa,mpaka inafikia hatua wanashindwa kushirikiana katika kutetea haki zao za msingi,kama Kikwete alikuwa karibu sana na Wasanii lakini sababu ya makundi yao walishindwa kutumia hii fursa hii na sizani kama watakuja kupata nafasi kama hii.

Ila serikali yetu ndio kabisa hata haijielewi,BASATA wao kazi yao kuadhibu,COSOTA ndio kabisa hata kazi zao hawazijui wapo wapo tu wanakula mishara ya bure .Ikifika 2020 wasanii utawaona hao wanaunganika na wanasiasa kuwasaidia kwenye kampeni kwa malipo ya kupooza njaa zao,baada ya kampeni wanabaki kulia njaa wenzao wanaenda kupiga hela bungeni.

Kama huyu Steve Nyerere ni mtu mbaya sana huyu anatumika na wanasiasa kuwatia ujinga wasanii wenzake mpaka wanasahahu kudai vitu vya msingi,sasa kwenda kuitizama hiyo Standard Gauge imewasaidia nini kimaslai ,juzi nimemsikia wanataka kuandaa documentary ya ziara yao walipotembelea reli si upuuzi huu,kwani wao haiwasaidii chochote.

.
 
Upo sahihi laikini tunawazungumzia waigizaji kwasababu Ni watu waliobahatika kuwa na influence kwenye jamaa.
Hapa Bongo waigizaji wetu Kama wamesahau majukumu yao ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah wengi hata kuvaa uhusika hawawezi mtu anatoa taarifa ya msiba ukimtizama usoni anacheka. Elimu duni ya tasnia hii wajue hata ukiwa na kipaji lazima ukinoe
 
Mwamko mdogo katika tasnia hiyo pia elimu ndogo achilia mbali bajeti kiduchu vyote hivyo changanya na dvd moja ya elfu tano mnaangalia kijiji kizima au mtaa mzima kwa kupokezana plus burning hapo ndio utajua bora wali nyama kuliko walimwengu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Apo kwenye kuiba kazi za wasanii Nigeria Ni moja ya nchi wasanii wake wanaibiwa Sana Kuna wajanja wajanja wengi Sana Tena wameenda shule kule.
Wasanii wetu hawawezi kunificha kwenye kichaka Cha kusema wanaibiwa Sana kazi zao.
Wanaigeria Ni wezi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii wana sehemu zao za lawama na serikali pia,Tanzania hatuna mifumo rasmi ya kulinda kazi za wasanii na ndio maana wasanii kila siku wanalalamika njaa,swala la hati miliki linapigwa danadana na wanasiasa wetu wana kazi ya kuwatumia wasanii pindi wanapowahitaji.

Wasanii nao wajinga wakipewa vihela vidogo na wanasiasa wana lizika na kuzunguka nao kwenye kampeni,sizani kama wanawaeleza matatizo yao.Kuna wengine wapo karibu na viongozi baada ya kuzungumza matatizo yao wanaanza kuwaomba hela ili wakatatue matatizo yao binafsi

Wasanii hawana umoja kuanzia wa bongo movie mpaka bongo fleva makundi makundi kibao,chuki ,wivu na roho za husda zimewajaa,mpaka inafikia hatua wanashindwa kushirikiana katika kutetea haki zao za msingi,kama Kikwete alikuwa karibu sana na Wasanii lakini sababu ya makundi yao walishindwa kutumia hii fursa hii na sizani kama watakuja kupata nafasi kama hii.

Ila serikali yetu ndio kabisa hata haijielewi,BASATA wao kazi yao kuadhibu,COSOTA ndio kabisa hata kazi zao hawazijui wapo wapo tu wanakula mishara ya bure .Ikifika 2020 wasanii utawaona hao wanaunganika na wanasiasa kuwasaidia kwenye kampeni kwa malipo ya kupooza njaa zao,baada ya kampeni wanabaki kulia njaa wenzao wanaenda kupiga hela bungeni.

Kama huyu Steve Nyerere ni mtu mbaya sana huyu anatumika na wanasiasa kuwatia ujinga wasanii wenzake mpaka wanasahahu kudai vitu vya msingi,sas kwenda kuitizama hiyo Srandard Gauge imewasaidia nini ,juzi nimemsikia wanataka kuandaa documentary ya ziara yao walipotembelea reli si upuuzi huu,kwani wao haiwasaidii chochote.

.
Mkuu unadhani wasanii wa Nigeria hawaibiwi kazi zao?lakini bado wanaendelea kupiga pesa

Hata hapa Bongo pamoja na mifumo mibovu lakini mtu Kama Diamond na Alikiba mbona wanafanikiwa?

Changamoto za ubovu wa mifumo bado Kanumba alikuwa anatoboa
Hawa waliopo hawana excuse ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Apo kwenye kuiba kazi za wasanii Nigeria Ni moja ya nchi wasanii wake wanaibiwa Sana Kuna wajanja wajanja wengi Sana Tena wameenda shule kule.
Wasanii wetu hawawezi kunificha kwenye kichaka Cha kusema wanaibiwa Sana kazi zao.
Wanaigeria Ni wezi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Si Nigeria tu ulimwengu mzima jambo hilo wamepitia na wengine wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupambana nalo ni jambo baya ila Tanzania ukijumlisha na uswahili wetu (ujanja ujanja )na kutoyapa tiba halisi mambo na kupenda ubwete ndio kabisa
 
Hawajitambui wa kwetu.
Wanajitambua ila pesa haijawatambua bado.

Huo uwekezaji wa huyo binti sio wa kitoto...kwa hawa wa kwetu na vijisent vyao vya kusubiri matamasha inabidi wasubiri sana!
 
Mkuu unadhani wasanii wa Nigeria hawaibiwi kazi zao?lakini bado wanaendelea kupiga pesa

Hata hapa Bongo pamoja na mifumo mibovu lakini mtu Kama Diamond na Alikiba mbona wanafanikiwa?

Changamoto za ubovu wa mifumo bado Kanumba alikuwa anatoboa
Hawa waliopo hawana excuse ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Ulaya watu wanaiba sana kazi za wasanii,movie inatoka leo baada ya ya masaa kazaa ukingia Torrents unaikuta unaidownload,ila serikali wanatoa sana support kulinda kazi za wasanii na wanasimamia maswala haya ya hati miliki,ila kwetu hamna.Kanumba kazi ya sanaa ilimpa umaarufu na si hela kwani kazi zake zote hati miliki kamuuzia Steps.

Mama Kanumba yule pale kama filamu zingekuwa za mwanawe nina uhakika kwa mwaka angekuwa anaingiza zaidi ya hata milion 100,mf DSTV wanatoa milion 2 kwa mwaka kwa kila movie watakayoionyesha,hao DSTV bado kuna ZUKU,Continental,AZAM ,EATV,ITV nk ,ukipiga mahesabu tu kwa haraka haraka kama Movie zile za Kanumba ,mamayake angekuwa kwa mwaka anaingiza zaidi ya milion 100,hivyo hivyo napo kwa Ray sasa hivi angekuwa anaingiza hela huku kakaa,tatizo serikali yetu siasa nyingi sana.

Angalia India Salman Khan sasa hivi anataka kununua tena hati miliki ya filamu zake alizoziandaa yeye,sababu anajua hata akifa vizazi vyake na yeye mwenyewe wataendelea kupiga hela,kwani mwenzake Sharkhan aliligundua hilo na ndio mana jamaa anawakimbiza kwa hela mpaka mastaa wa Hollywood kwa hela.

ac.PNG

The 20 Richest Actors in the World 2019

Wao wasanii wabongo kila siku wanafanya udananda kwa wasiasa.
 
Hata Ulaya watu wanaiba sana kazi za wasanii,movie inatoka leo baada ya ya masaa kazaa ukingia Torrents unaikuta unaidownload,ila serikali wanatoa sana support kulinda kazi za wasanii na wanasimamia maswala haya ya hati miliki,ila kwetu hamna.Kanumba kazi ya sanaa ilimpa umaarufu na si hela kwani kazi zake zote hati miliki kamuuzia Steps.

Mama Kanumba yule pale kama filamu zingekuwa za mwanawe nina uhakika kwa mwaka angekuwa anaingiza zaidi ya hata milion 100,mf DSTV wanatoa milion 2 kwa mwaka kwa kila movie watakayoionyesha,hao DSTV bado kuna ZUKU,Continental,AZAM ,EATV,ITV nk ,ukipiga mahesabu tu kwa haraka haraka kama Movie zile za Kanumba ,mamayake angekuwa kwa mwaka anaingiza zaidi ya milion 100,hivyo hivyo napo kwa Ray sasa hivi angekuwa anaingiza hela huku kakaa,tatizo serikali yetu siasa nyingi sana.

Angalia India Salman Khan sasa hivi anataka kununua tena hati miliki ya filamu zake alizoziandaa yeye,sababu anajua hata akifa vizazi vyake na yeye mwenyewe wataendelea kupiga hela,kwani mwenzake Sharkhan aliligundua hilo na ndio mana jamaa anawakimbiza kwa hela mpaka mastaa wa Bollywood.

Wao wasanii wabongo kila siku wanafanya udananda kwa wasiasa.
Upo sahihi mkuu tatizo Hawa wa Bongo wenyewe kiongozi wao Steve Nyerere shule yenyewe hakuna ujanja ujanja tu wa mjini na wanasiasa wanajua kumtumia

Sasa mtu Kama Genevieve Nnaji shule ipo ana degree unadhani atakubali kuongozwa na mtu Kama Steve Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majumba yote hayo,alichouza Netflix ni 3.4Mil USD?

Hii dunia hawa wasanii wanatudanganya mno aisee!
 
Hujaelewa mkuu hiyo Ni movie moja tu ya mwaka Jana.
Genevieve Nnaji ana movie zaidi ya 50 hizo nyumba anamiliki kabla hata ya mwaka Jana
Pesa anayo huyo Dada na sio mtu wa majivuno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa mkuu hiyo Ni movie moja tu ya mwaka Jana.
Genevieve Nnaji ana movie zaidi ya 50 hizo nyumba anamiliki kabla hata ya mwaka Jana
Pesa anayo huyo Dada na sio mtu wa majivuno

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro

Nina account Netflix mwaka wa tatu huu,Nnaji ndio kaweka movie hii ya kwanza!

Sasa sijui unaongea nini mzee!

Unaongea as if kauza Netflix movie kama buku hivi,kumbe ni movie moja!

Mwanamke tajiri kwenye hizo makitu zao huko NG ni Omotolla ambae hana hizo nyumba mnazoonesha hapa!

Duh!
 
Back
Top Bottom