Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Never interupt your enemy when he is making mistakes....HOFU YAO, WANAHISI MAMA YAO ANAWEZA RUDISHWA MAVUMBINI KAMA ILIVYOKUA KWA JPM
NAWE UKAWA RAIS, NA UKAVURUGA MAISHA YAO WOTE WALOHUSIKA NA UTEKAJI NA MAUAJI DHDI YA WATANZANIA.
SASA BASI, INAANDALIWA NAMNA YA KUKURUDISHA MAVUMBINI, ILI APATIKANE MSAIDIZI WA KUNDI LAO.
JAPO NYINYI NYOTE NI WAHUNI , YAAN WAHUNI GENGE ABDUL NA WAHUNI WANAMTANDAO .
WEWE NI THREAT KWA ULE UKARIBU WAKO NA ROMAN CATHOLIC.
Kama Dhamira yako ni njema , Mungu akusaidie, kama Dhamira yako ni ya kihuni na likupate sawasawa na Uhuni wako.
Hana Amani yoyote, hofu yao imezidi baada ya Kukumbuka Katiba Mbovu inaruhusu Makamo kua Rais .Carlos The Jackal unaona malkia ana amani ya moyo?
Siyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri piaHOFU YAO, WANAHISI MAMA YAO ANAWEZA RUDISHWA MAVUMBINI KAMA ILIVYOKUA KWA JPM
NAWE UKAWA RAIS, NA UKAVURUGA MAISHA YAO WOTE WALOHUSIKA NA UTEKAJI NA MAUAJI DHDI YA WATANZANIA.
SASA BASI, INAANDALIWA NAMNA YA KUKURUDISHA MAVUMBINI, ILI APATIKANE MSAIDIZI WA KUNDI LAO.
JAPO NYINYI NYOTE NI WAHUNI , YAAN WAHUNI GENGE ABDUL NA WAHUNI WANAMTANDAO .
WEWE NI THREAT KWA ULE UKARIBU WAKO NA ROMAN CATHOLIC.
Kama Dhamira yako ni njema , Mungu akusaidie, kama Dhamira yako ni ya kihuni na likupate sawasawa na Uhuni wako.
Samuya mumiani mnyonya damu za watu amepachikiwa tu running mate ambaye sasa ni vice wake, Nchimbi kawekwa kama namna ya kubalance equation japo in reality wote ni walewale. Birds of a feather.Comrade Nchimbi alipendekezwa na rais Samia kuwa mgombea mwenza na baadaye makamu wa rais kwa Imani kubwa. Hizi ramli chonganishi siyo nzuri.
Hata hivyo, uwepo wa Nchimbi ni faida zaidi.
1. Enemy of the state,Watu wengi sana wameuliwa
Hens wish...! Wakati mwewe anakula vifaranga.Siku zote magenge they can't get along for along time. Lazima yakorogane tu
Ndiye alipambana na ippy Malecela back in the days kampeni za UVCCM, Ippy Malecela ghafla akafariki. Wahuni wamekutana.Nchimbi ni Mafia usimchukulie poa huyu ndo alimwambia Jakaya pale Dodoma kwamba hujafuata taratibu Nchimbi Japokua mwanamtandao ila ni mtu anaeijua CCM vizuri
Umewahi kumsikia mtu alikuwa akiitwa Ipiana Malecela na historia ya kifo chake?Hofu yao ni kubwa; wanahisi mama yao anaweza kurudishwa mavumbini kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaandaliwa namna ya kumrudisha mavumbini ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao, imeonekana
Wewe ni tishio kwa Genge lao Kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.