PostGE2025 Genge la Abdul linamuona Nchimbi kama tishio

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanufaika wa utawala wa sasa hawamwamini Nchimbi hasa baada ya kupendekeza waachane na Tabia ya kuwatengenea kesi kesi chadema, anataka maridhiano kama kenya na Zanzibar Nchi iwe na upendo na Amani, hapendi kuona Aibu wanayopata mawakili na mashahidi wa Serikali mahakamani kwa kuwabambikia kesi za uongo chadema,
 
Huyo Nchimbi ni kibaraka mtiifu sana kwa JK.
Anaifahamu CCM kumzidi samia na anazijua rafu za wanamtandao na malezi yake yote ndani ya chama amebebwa vizuri sana na hiyo mbeleko ya wanamtandao.
Hivyo kwa yeye kusaliti genge, ni ngumu na inahitaji mtaji mkubwa wa "malaika watoa roho" ndani ya chama.
Sasa jiulize ataanza na yupi kumshawishi mpaka akubali kuungana nae kuvunja huo ukuta walojiwekea wahuni ndani ya chama?
Hao ni ndege wafananao...
Hakuna cha habari ya utii kwa katoliki. Nchimbi katengenezwa na "mastermind himself" akijitela, yeye ndo atakuwa immediately eliminated.
 
Timu lowasa wapo, Timu magufuli waliojeruhiwa wapo pia wapo waliokosa ubunge vyeo ccm, Nchimbi akitaka watu ndani ya ccm wapo wengi wasiopenda yanayoendelea Nchini kwa sasa
 
Wakuu hakuna kiongozi wa CCM wa maana tuache hizi ngonjera

Tusisahau dhamira ni moja tu CCM iondoke madarakani hatumtaki Nchimbi wala Polepole

Ila kama watauana ni heri maana watakuwa wanaturahisishia kazi

Huwezi kumpaka rangi Donkey awe Zebra
 
Dkt Nchimbi hawezi kuua mtu awe rais kama alivyofanya Dkt Samia kumuua Dkt Magufuli. Dkt Samia alikuwa compromised mpaka kujikuta anashiriki mauaji ya bosi wake Dkt Magufuli, na za ndani nafsi inamsuta sana tena sana na hofu yake akipokwa madaraka anaogopa kisasi hivyo bora kila anayeibuka kumpinga lazima amuue ili aendelee kuwa madarakani. Hivyo Dkt Nchimbi hana nia ya kuua bosi kabisa
 
Wakuu hakuna kiongozi wa CCM wa maana tuache hizi ngonjera

Tusisahau dhamira ni moja tu CCM iondoke madarakani hatumtaki Nchimbi wala Polepole

Ila kama watauana ni heri maana watakuwa wanaturahisishia kazi

Huwezi kumpaka rangi Donkey awe Zebra
kweli kabisa ukiingia kwenye mfumo wa ccm lazima uwe mtu wa hovyo adui wa nchi yetu ni ccm
 
Akili za kuambiwa, changanya na zako.
 
HIYO IBARA MIMI NAIITA "IBARA YA KISHIRIKINA".KAMA MSEMO MMOJA KWENYE KITABU;

"DO ME A FAVOUR,DROP DEAD"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…