Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
Mimi Bado naamini Kuna kitu. Ukimya wa watu Mashuhuri wa CCM juu ya jambo hili, utatupa jibu soonSiyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri pia

Tena kwa kosa kubwa walilofanya sasa. Lazima wavurugane, unless sio binadamuSiku zote magenge they can't get along for along time. Lazima yakorogane tu
Sina uhakika na ayaNdiye alipambana na ippy Malecela back in the days kampeni za UVCCM, Ippy Malecela ghafla akafariki. Wahuni wamekutana.
Wapo lakini hawana nguvu ya kuwababaisha "WAHUNI" ndani ya chama na kwenye mfumo wa ulinzi na usalama.Timu lowasa wapo, Timu magufuli waliojeruhiwa wapo pia wapo waliokosa ubunge vyeo ccm, Nchimbi akitaka watu ndani ya ccm wapo wengi wasiopenda yanayoendelea Nchini kwa sasa
Mbona ameshaipata..miCCM isipokuwa makini, watazama kama KANU ilivyozamishwa na Late MoiSamia amechagua kuondoka madarakani kwa njia ya fedheha kubwa.
Ni kweli kabisaSiku zote magenge they can't get along for along time. Lazima yakorogane tu
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.
Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Sinema hiyo ni tamu sana kuiangalia. nikwamba genge la mtandao ndani ya ccm kwa siri kubwa ni wanachimbuko tokea Muslim Brotherhood (MB). Itikadi kubwa ya MB ni islamization na waislamu kushika hatamu ya madaraka. Ndiyo maana Lowassa wakamsaliti na baadae Membe walimsitukia. Hawa watu wamejipanga kama hamjui. Na trick kubwa wafanyayo ni hadaa (Taqqya). Msione akina Chande kwa sura yao ya njee ya haki mkafikiri hawako jumuishi. Sasa Mungu fundi, Ujanja wote wakajichanganya na Nafasi ya VP. Unachosema ni kweli kichwa kinawazunguka na hasa wakisikia nabii zinazoendelea za msiba wa Taifa. Hawa watu Mashetani kweli kweli huku wakitabasamu kwa sura ya rais mstaafu. Nchimbi hayuko salama.Siyo ukaribu tu na Catholic church.Nchimbi amesoma Upadre (Major seminary Peramiho) amesoma darasa Moja na Askofu Joseph Mlola wa Jimbo la Kigoma ,na Askofu Urasa.Kanisa Katoliki analijua vizuri na wanamjua vizuri pia
Ajiangalie Samuya asije akamuua kama alovyomuua Magufuli.Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.
Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Kwasasa hata ukiijua ccm vizuri haisaidii kitu watu wanaweza amua kukuua tuNchimbi ni Mafia usimchukulie poa huyu ndo alimwambia Jakaya pale Dodoma kwamba hujafuata taratibu Nchimbi Japokua mwanamtandao ila ni mtu anaeijua CCM vizuri
Hana madhara?Hapo kwenye kubadili kipengele cha makamu wa Rais kuja kuwa Rais ikiwa kitatokea chochote kisichotarajiwa nasikia nikweli , huu mjadala upo active sana hata sasa kwenye kamati nyingi za ulinzi na usalama .
Ila hapo kwa Nchimbi kuja kuwa bora na pengine kuja kuwageuka kindi lililompambania kumuweka alipo ,nadhani ninamna tu yakujitengenezea faraja ya bandia
Chakwanza licha tu ya Nchimbi kutokuwa na hiyo spirit lakini muundo wa hayo kuja kufanikiwa siyo mwepesi kwa kiwango hicho wazee .
Kundi la mtandao ni moja kati ya makundi hatari sana Duniani , kabla hawajaridhia kumuweka kwenye hiyo nafasi ,jamaa alipembuliwa kwa viwango vyakutosha sana na mwisho akaonekana hana madhara kwao
Kusema samia alimuua magfuli ni uongoAjiangalie Samuya asije akamuua kama alovyomuua Magufuli.
Mmmmh! Ippy daaah, hivi huyu n..chi.mbee aweza kuwa ndiye muuaji?Huyu aliwekewa sumu akafa hii naikumbuka sana ...muhusika anajulikana wazi
Si kweli. Wakati Magufuli ananyweshwa sumu na Samuya, Nchinvi hakuwepo nchini.Kusema samia alimuua magfuli ni uongo
Mmmmh! Ippy daaah, hivi huyu n..chi.mbee aweza kuwa ndiye muuaji?
Siku Samuya akimuua Nchinvi kwa sababu ya ukatoliki wake, nchi itawaka moto. Asidhubutu hata kidogo kufanya uhaini huo.Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.