Wanamtaka nani?Hana Amani yoyote, hofu yao imezidi baada ya Kukumbuka Katiba Mbovu inaruhusu Makamo kua Rais .
Sasa Kwa kuzingatia Mauaji waloyafanya, Kupora Uchaguzi, wamefikia hitimisho la kuanza kutafuta Makamo mwingine ,ili ikitokea Mama yao Kafa, Wapate Rais wa Genge lao.
Asipowahi atawahiwaHofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.
Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
Kwani jiwe alikuwa Mlutheri?Siku Samuya akimuua Nchinvi kwa sababu ya ukatoliki wake, nchi itawaka moto. Asidhubutu hata kidogo kufanya uhaini huo.
Rizi moko au mchengerwaWanamtaka nani?
MaweeeRizi moko au mchengerwa
Kuua raia wasio na hatia, kuwazika kibabe!Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo nyinyi nyote mnaonekana wahuni, yaani genge Abdul na wahuni wa mtandao.
Imeonekana wewe ni tishio kwa Genge lao kwa sababu ya Uhusiano wako na Kanisa Katoliki.
Kama dhamira yako ni njema, Mungu akusaidie. Kama dhamira yako ni ya kihuni, upate matokeo yanayostahili kwa kitendo hicho.
The is no honor among the thievesSiku zote magenge they can't get along for along time. Lazima yakorogane tu
Magufuli alikuwa mkatoliki. Samuya hawapendi wakatoliki ndio maana alimuua Magufuli na sasa anapanga kumuua Nchinvi. Na angejua dini yake kabla ya uteuzi, asingemteua kamwe kuwa makamu wa rais. Kama hampendi namshauri amtengue badala ya kumuua. Huyu mama ana roho mbaya sana.Kwani jiwe alikuwa Mlutheri?
KivipiNchimbi amefikiwaaaa
Dubai anakula bataKwani huyo Abdul yupo wapi kwasasa? Location yake tafadhari.
Yatarajiwayo.Inasikitisha sana
Kwani malkia unafikiri Hakuna jamaa yake aliuawa kutokana na uvamizi wa Nyerere ?Carlos The Jackalq unaona malkia ana amani ya moyo?
Hapo ndiyo Itakuwa mwisho wa uvamiziYatarajiwayo.
Nani anafikiri Samia anatoboa mpaka 2030?.
Samia atavutishwa Shuka, same way Mafuguli alivyovutishwa.
Kikwete atataka kumchomeka Kijana wake !!.
Tanzania Mpya inaibuka !!!.