Genge la wanawake wenye silaha labaka wanaume kwa nguvu.

unahitaji kuwa mwanaume wa shoka kuweza function in such situation (unless wanatumia msaada wa viagra)..

Anyway kwa atakaekutana nao ajaribu kuwashauri kwamba tabasamu can work wonders more than the Gun
 
Haaaa na dudu wanaziwekea pop au wanazifungia toothpick ili mambo yaende sawia
cha kusikitisha ni wanawake wenye uwezo kifedha ambao wanaweza kupata wanaume bila kutumia nguvu/silaha lakini kitendo cha kumlazimisha mwanaume kufanya wanavyotaka ndio kinawasukuma.

unahitaji kuwa mwanaume wa shoka kuweza function in such situation (unless wanatumia msaada wa viagra)..

Anyway kwa atakaekutana nao ajaribu kuwashauri kwamba tabasamu can work wonders more than the Gun
hapo sasa,kwenye comment za habari hii kuna Wakenya wengi wanataka kwenda Harare na kusimama barabarani nao wapewe lifti na hawa kinadada lol!
 
Mh hao wanaume kama walikuwa wanasikilizia vileee, mwanaume anabakwaje> koz akipata mstuko hamna kitu kinaendelea, labda kama alivosema BB
 
<br />
<br />
itakuwa waliambiwa wachague adhabu wakachagua kubakwa.
 
Mh hao wanaume kama walikuwa wanasikilizia vileee, mwanaume anabakwaje> koz akipata mstuko hamna kitu kinaendelea, labda kama alivosema BB
Usicheze na bastola dear utafanya unalo ambiwa,halafu wanakushikilia hadi siku tano kabla ya kukuachia huru.
 
Kubakwa kuna maana nyingi,unalazimishwa kukubali kisha unafanya mapenzi bila kupenda!
 
Back
Top Bottom