Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hivi yule Masawe alikuwa anapiga ishu gani?Duh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
Ujambazi🐼Hivi yule Masawe alikuwa anapiga ishu gani?
....hali mpya...?Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, hali mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.
View attachment 2923134
Duh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
moshi kwa sasa naona madawa na mihadarati imejaa hasa wala mirungi na wavuta bangi kwa wingi majuzi nilishuhudia hayo maeneo mengi ya moshi mjiniDuh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
UsikaririDuh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?🐼
Kilimanjaro sio wachaga peke yaoDuh
Wachagga na Ngada wapi na wapi?[emoji209]
Mgeni atafuata Nini Moshi mji wa ukabila ule . Wao wenyewe wanakimbiana ama kubaguana ,huyu mrombo akajaza warombo wenzake hapa utamsikia wa siha ama machame Kama sio wa kibosho analalamikaKilimanjaro sio wachaga peke yao
Huenda alikuwa jasusi yupo kazini.Running with devil!!!!!
Sema yy nae kwanini awe snitch?