Genge la wauza madawa ya kulevya lamuua kikatili "Snitch" kutoa onyo kwa wengine huko Kilimanjaro

Mgeni atafuata Nini Moshi mji wa ukabila ule . Wao wenyewe wanakimbiana ama kubaguana ,huyu mrombo akajaza warombo wenzake hapa utamsikia wa siha ama machame Kama sio wa kibosho analalamika
Wapare wapo Kilimanjaro
 
Ni wazi kuna police ambao wamehusika na kutoa taarifa za huyu jamaa kuwa ndiye anawahujumu wauza madawa ya Kulevya ambao kwa sasa wamerudi na kasi mpya, hali mpya na nguvu mpya. Kumhujumu rais wetu sami.

View attachment 2923134
Hivi kwa nini mnasingizia kuwa kuna watu wanataka kumhujumu rais wakati yeye ndiye mamlaka ya kuwaweka wateule wake wote? Huu ujinga wa kukariri utaisha lini. Mambo kama haya yanaashiri hata yeye uongozi umemshinda.
 
Utakuwa mpare wewe.ni makabila mawili tofauti kabisa. Hawafanani ama kwa vile wao walibeti kuwa pesa ikienda juu Ni ya kwao na ikirudi chini Ni ya mchaga
Huo ni mtizamo wako na shio sheria na huna hati miliki ya kabila lolote lile
Na maswala ya mimi ni kabila lipi haitakuongezea chochote hata ukijua
 
Huo ni mtizamo wako na shio sheria na huna hati miliki ya kabila lolote lile
Na maswala ya mimi ni kabila lipi haitakuongezea chochote hata ukijua
Nimekutega umeingia ,life and everything is all about mind game
 
Mtoa mada, 100% unafanya Biashara haramu.

Ndio maana umemuita Shujaa aloamua kuokoa Vijana "Snitch".
Ukijua uandishi ni raha sana
Hebu soma tena kwa kituo umeona hilo neno snitch mwandishi alivyoliandika? Namna alivyoandika "snitch" kitafsiri (pengine tuite kimtazamo) hamaainishi huyo ni snitch ila waliomuua ndiyo wamemuona kuwa ni snitch kwa mtazamo wao. Hizi alama " " zina maana kubwa sana kwenye uandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…