Genital mutilation of women: the Knife of Love?


Tena wanaokuwa wa kwanza kukubali na ku-usaliti uafrika ni "Msomi wa Chuo Kikuu". Cha ajabu zaidi ni kwamba, wasomi hawa wanakuwa wepesi sana kuiga mambo ya kijinga ya whiteman na kuyaleta huku kwa akina yakhe kuliko mambo ya maana!
 
Kwanza ukisikia nadhani ungetoka nduki
Dah! mkuu ningeondoka bila kuaga na nisingerudi tena kijijini, kwa maana kukakamaa na kuvumilia maumivu ni kuonesha ujasiri: tena wakikata hiyo kitu haikutakiwa kudondosha chozi hata la kimyakimya!!....ije kuwa kutimka mbio mtuwangu unaonekana wa mama sana! Lakn bora kuonekana wa mama kuliko kutega kitu ikatwe na kisubutu, lolz
 
uwa nachanganyikiwa hii kitu,uwiiii uyu mtoto jamani?
 
Inawezekana mila zikawa muhimu kwwtu lakizi si tungeziboresha katika utendaji wake? Kwa mfano kama ni circumsion si ifanyike hospitali au kwa kutumia vifaa bora na siyo crude tool? Same as GGenital mutilation kungekuwapo na sindano ya ganzi kam ni lazima kufanya kitendo hiki. Lakini kwa mazingira hizi mila zinafanyika ni ukatili tupu.
Nilijiapiza na nina-maintain kuwa Mtoto wangu hatafanyiwa circumsion kienyeji katu! Mimi nilikuwa wa mwisho kufanyiwa kitendo kile cha kikatili, sioni ushajaa wowote niliupata kwa kutairiwa kwa "TENGO" kale ka strip kanaposhia bandali ya bati wala kwa kukaa porini na siku ya kufanya dressing natomba kifuu cha nazi chenye maji ya vuguvugu ili kulaisha bendeji kabla ya kufungwa mpya.
Kam hizi mila ni muhimu tukubali kuzi-modernize ili ukatili uliomo ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…