Habar zetu wadau...
Kama mada inavyo jieleza, ningependa kujua, kufahamishwa zaid.. iv kuna interdependence between these two "confident na intelligent " I mean mtu akiwa anajiamin sana ni dalil ya mtu huyo kuwa genius ??? Maana naona ma genius wengi sio wote wanakua over confidence...maana duh npo confused na hzi terms