Huyu amemshirikisha Jay Melody katika ngoma yake kali FAR AWAY .Mwanzoni nilijua ni Mnaija mpaka nilipo mgoogle ndo nikajua m TZ.Nilishangaa sana.Kilichonishangaza zaidi ni mshamba wa kuvaa kama Marioo ! Nikashangaa zaidi inakuwaje Jay Melody anaruhusu hilo ? Sasa alieshirikishwa ndo kapendeza kumfunika alomshirikisha .Duu !