Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nahisi Mimi huyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali tamuUmewahi kucheat Na unadhani unaweza cheat kwa ajili ya kupata pesa cheo au dili!?
DJ sepetu
"Kuna watu wanapendeka" yaani dota acha kabisa, ila kufikia kuota pamoja!!! Mungu aniepushe.
Be selfish at times for yo own good.hapana mie naongelea ile ya kumpenda mtu kuliko wewe mwenyewe !kuota ndoto pamoja !aka! hyo mm ndo imenichosha
Walisamehewa.Role models wenu mnapotetea uzinzi eti!!! Hebu nielezee mwisho wao pia ulikuwaje?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilicheat last year and I don't regret!maana jitu lenyewe lilikua halieleweki nilimkomesha kidogo na yeye then nkalipiga chiniUmewahi kucheat Na unadhani unaweza cheat kwa ajili ya kupata pesa cheo au dili!?
DJ sepetu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Umenikumbusha mtihani nilionao sasa!! Yaani sitaki hata kufikiria, kikibumburuka nafwaaaaa!!
Alafu ndoto zako unazizika mazimaaa, ukija stuka jua limezama!Unajikuta ndoto zake zinakuwa zako.....ndoto zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanini wasamehewe ikiwa ni heshima na sio dhambi?Walisamehewa.
No one is immune to cheating, hata mimi naweza kuchepuka (God forbid). Cheating sio tu kosa la kawaida, ni kubreak "trust" ya mtu, Ukiacha the fact kwamba umeshavunja ndoa yako spiritually. What happens after cheating ndo kinachomatter zaidi, amerepent kweli kwa Mungu na kwangu? Anafanyaje kuirejesha upya ndoa yetu ambayo ameshaivunja (Toba)? Na anafanyaje kuhakikisha anarudisha trust yangu aliyoivunja na hafanyi tena kosa lile lile? (Trust is earned). Hiyo nimeassume ni ndo mara ya kwanza kuchepuka na naassume "ameanguka", na amerepent cos wapo wanaocheat na anaona ni sawa tu. So jitihada zake za kunyanyuka zitamatter sana. Ikitokea mara ya 2 (anajenga tabia sasa) then lemme reserve my comment. Mungu atuepushie tu coz unaweza ukachepuka hiyo once ila ndo damages zake zikawa beyond repair; not all the time utachepuka tu na kuget away with itKwa mfano umeolewa mume wako aka-cheat mara moja ukagundua. Ndio basi ndoa imevunjika au utampa second chance!
Huhuhuuuuuuu![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilicheat last year and I don't regret!maana jitu lenyewe lilikua halieleweki nilimkomesha kidogo na yeye then nkalipiga chini
Siwezi cheat kwa sababu ya kitu au pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uliyecheat naye ndo huyu bwana Harusi mteule![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilicheat last year and I don't regret!maana jitu lenyewe lilikua halieleweki nilimkomesha kidogo na yeye then nkalipiga chini
Siwezi cheat kwa sababu ya kitu au pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Not kuwa selfish in such, ila ni kuwa na self love.Be selfish at times for yo own good.
Hahaha mbona kupenda kisukuma lolmimi nimeishi maisha ya kumpenda mtu kuliko mimi mwenyewe ! hivi sijui nililogwa !mara nyingi nakuwa najiuliza naishia kukasirika tu !ingawa wanadai upendo hahuhesabu mabaya/mema hapana jaman !
hii roho ya kupenda kisukuma namna hii iishie kwangu jaman !kabisa jaman !sitak mm !
Hapana sio yeye[emoji1] [emoji1] [emoji1] yule he is jus a friend now![emoji23] [emoji23] [emoji23] uliyecheat naye ndo huyu bwana Harusi mteule!
DJ sepetu
Kwakweli, haya mambo ya kumpenda mtu kuliko nafsi yako ni dhambi maana hatukuagizwa hivyo!!Not kuwa selfish in such, ila ni kuwa na self love.
Well understood.No one has immune to cheating, hata mimi naweza kuchepuka (God forbid). Cheating sio tu kosa la kawaida, ni kubreak "trust" ya mtu, Ukiacha the fact kwamba umeshavunja ndoa yako spiritually. What happens after cheating ndo kinachomatter zaidi, amerepent kweli kwa Mungu na kwangu? Anafanyaje kuirejesha upya ndoa yetu ambayo ameshaivunja (Toba)? Na anafanyaje kuhakikisha anarudisha trust yangu aliyoivunja na hafanyi tena kosa lile lile? (Trust is earned). Hiyo nimeassume ni ndo mara ya kwanza kuchepuka na naassume "ameanguka", na amerepent cos wapo wanaocheat na anaona ni sawa tu. So jitihada zake za kunyanyuka zitamatter sana. Ikitokea mara ya 2 (anajenga tabia sasa) then lemme reserve my comment.