MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
[emoji23][emoji23][emoji23]leo Niko off halfu ndo nimejiunga leo jf Shoga anguKivumbi leooo
Hii imeendaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KumekuchaaGENTAMYCINE na MSHANA JR.
Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani.
Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.
Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.
Nawapenda.
AyaHeeee kazi ipo! Ngoja nilog off nitakuja saa saba
Niko free leo halfu ndo siku yangu ya kwanza kuwa na I'd jf uwa nasomaga commentsNaona leo umeamua bi mzurii[emoji23]
Aliyeandika hii kitu ni Mwanaume. Kama nasema uongo naomba mniue ndugu zangu.GENTAMYCINE na MSHANA JR.
Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani.
Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.
Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.
Nawapenda.
Sawa tutakuuaAliyeandika hii kitu ni Mwanaume. Kama nasema uongo naomba mniue ndugu zangu.
Kumbe kumsifia memba jf dhambi jamani wanaume msiwe na makasiriko hata kama hamna helaHao walio tajwa mmoja wapo hio Ni ID yake.
Kivumbii leooOyooooπππππ
Unataka kusemaUkiwa new member unaweza andika ujinga wowote ilimradi watu wakuone kua upo Jf