Aje tu kwangu mimi hapa maana huyo GENTAMYCINE mwenyewe anaetajwa hapa ni Ke...🤣 alafu Mshana Jr bado ni mwanafunzi...😜GENTAMYCINE hili likitu ni lizuri pwaa🤢🤮🤮🤮 bora kidogo mshana na vipamba vyake ila ujue MZURI SANA huyu Mshana Jr anamke na watoto wakutosha angalia usiharibu ndoa za watu na mganga wawatu kazeeka na amemrudia Mungu
Kazuri na hivyoo vishavu poa sana ila sasa mmh alikuwa mgangaAje tu kwangu mimi hapa maana huyo GENTAMYCINE mwenyewe anaetajwa hapa ni Ke...🤣 alafu Mshana Jr bado ni mwanafunzi...😜
Aisee kawapa kavukavuWanamuanza afu wanakimbilia kumreport
Ila nimefurahi kawakanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ni gentamycine mwenyeweAliyeandika hii kitu ni Mwanaume. Kama nasema uongo naomba mniue ndugu zangu.
Acha ujingaAliyeandika hii kitu ni Mwanaume. Kama nasema uongo naomba mniue ndugu zangu.
una swaga.?Aje tu kwangu mimi hapa maana huyo GENTAMYCINE mwenyewe anaetajwa hapa ni Ke...[emoji1787] alafu Mshana Jr bado ni mwanafunzi...[emoji12]
unakaa wapi mpenzi jua linakowaka[emoji1787][emoji1787]
Good morning my wangu.. nilisahau kukwambia, ila kiukweli jua linawaka sana. Sitakiwi kusumbuliwa bhanaa
Hili dume kabisa aiseeeKumbe kumsifia memba jf dhambi jamani wanaume msiwe na makasiriko hata kama hamna hela
Tena kajianzishia uzi kabisaAliyeandika hii kitu ni Mwanaume. Kama nasema uongo naomba mniue ndugu zangu.
Coca nifunguke tu... hivi mahari ni kama bei gani vile kuleta huko ungonini?Kivumbi leooo
Hii imeendaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We lazima utakuwa Mshana Jr kwa ID nyingine. Sasa hilo lipare la Thame lina mvuto gani?Wana JF,
Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga JF leo.
Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE na MSHANA JR.
Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani, sidhani kuna wakunipinga katika hilo.
Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.
Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.
Nawapenda.
GENTAMYCINE
Mshana Jr
Hapa kwangu ndio the home of all swaggz...😊una swaga.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbna mabwakuuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]password tena wanaume wa jf nimewakanda wamejia moto wananuya mie
Woiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]