Ladies - Dena AmsiGentleman kwa kiswahili ni nini vile?? Mie sijui bana hebu nifafanulie. Nimewahi kusikia kwenye sherehe mbali mbali watu wakisema Ladies and Gentlemen huwa wanamaanisha nini?
Ladies - Dena Amsi
Gentlemen - BE
Gentleman = Mwanaume mpole,mkarimu, muelewa
Mmmmhhh kwahiyo wale wanaosema Ladies and Gentlemen kwenye sherehe wanakuwa wanajua woooooooote waalikwa kuwa wana hizo tabia au???
Haya bwana asante kwa ufafanuzi nilikuwa sifahamu
Kwa kuwa hayupo na hajulikana lini atarudi itabidi nikamtafute GONGO LA MBOTO for the time being ngoja ikae hiviHa ha ha ha BE toka nimerudi simuoni sijui kaenda wapi jamani my dear wangu ha ha ha
Sasa kama ndo wanamaanisha hivyo kulikoni mwenzetu anasema gnetleman hebu nisaidie
Hivi gentleman ni status ya watu fulani fulani!!! Wengine tulikuwa hatufahamu. Hivi kwenye hafla fulani wanaposema 'ladies and gentlemen' huwa wanamaanisha nini??
Kimbweka hata Eminem mwenye ni Gentlemen pamoja na kuwa alikuwa ni drug addictHaswaaaaaaaa hata kama atakuwepo wa tofauti atajificha maana ataonekana wa ajabu kwa hiyo mhiyo salaam ni silaha pia
Kimbweka hata Eminem mwenye ni Gentlemen pamoja na kuwa alikuwa ni drug addict
Haswaaaaaaaa hata kama atakuwepo wa tofauti atajificha maana ataonekana wa ajabu kwa hiyo mhiyo salaam ni silaha pia
Kwa kuwa hayupo na hajulikana lini atarudi itabidi nikamtafute GONGO LA MBOTO for the time being ngoja ikae hivi
LADIES - Dena Amsi
GENTLEMEN - The Finest
Huyo gentlemen wako nilisikia kaenda Tanga sasa si unajua habari ya huko ilivyo l.o.lSoma signature yako halafu utapata majibu sijui wameambizana na huyo aliyeko kwenye signature yako???
Maana wamepotea wote ghafla mwengine kala BAN huyu wangu ndo simuoni kabisa
Huyo gentlemen wako nilisikia kaenda Tanga sasa si unajua habari ya huko ilivyo l.o.l
Mkuu kwenye maisha unaweza ukapata mengi kwa kufanya Compromise na kuacha mwenza wako ashinde mabishano mengi
Tuseme kama hizi argument ndogo ndogo zote huwa unakubali kushindwa huoni labda siku likija jambo kubwa utakuwa na upper hand, sababu utaonekana kwamba wewe ni mstaarabu na huwa unamwachia and now its her turn to compromise..
Kwahiyo mkuu mambo madogomadogo kama hayatakusumbua sana let her win ni kwamba hapo unainvest for the future..
-Ni kweli Mkuu... kwa upande wa majadiliano na mabishano naweza kukubaliana na hoja yako...
-Baada ya kuzichunguza 'couples' kadhaa ninzozifahamu...Naashawishika kuamini wanawake wengi wakishapata mwenzi amabae ni 'jentomani' na wakishamfahamu vema, taratibu wanajisahau wanaanza kugeuka wabinafsi katika mahusioano. Na hapo ndipo jentoman mjanja anajikata zake na mjinga anageuka mtumwa katika mahusiano... uongo?:coffee: