Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Gentleman = Mwanaume mpole,mkarimu, muelewa
Kweli Mkuu, Binadamu...
"Give them an Inch and They Take a Mile"
Unaweza wewe ukawa mstaarabu wenyewe wakachukulia ni *****..., kwahiyo naona sometimes inabidi upime kama kitu hukipendi kabisa unamwambia mtu na unaonyesha kutokuridhika nacho, lakini compromise kwenye haya mambo lazima iwepo haya mambo madogomadogo uaacha na mwenzako nae afeel kwamba na yeye ni part ya "Captain wa Jahazi" lakini nadhani pia inabidi msichana na yeye akipata Gentleman basi ajaribu kuwa a LADY
Ni kweli kabisa lakini inapofikia wakati mnavutana.., kuliko kushindana sometimes ni vizuri mmoja kukubali ili kuepusha shari.., lakini tatizo linakuja wakati mwingine unapo-compromise mwenzako anazoea na anakuona haufai badala ya ku-appreciateNaamini compromise lazima iwepo kwa pande zote mbili...ikiwa upande mmoja tu....italeta taabu! Nafikiri uwazi katika mahusiano ni kitu kizuri sana, kama hupendi sema NO ukitoa na sababu, naamini mpenzio atakuelewa!
Ni kweli kabisa lakini inapofikia wakati mnavutana.., kuliko kushindana sometimes ni vizuri mmoja kukubali ili kuepusha shari.., lakini tatizo linakuja wakati mwingine unapo-compromise mwenzako anazoea na anakuona *****... badala ya ku-appreciate
Ofcos, sio vizuri kama mwenzio anakubali yaishe, then wewe unamwona...........hapo sio sawa! Na mimi kwa uzoefu naona wanawake ndo rahisi sana kushuka kuliko hata wababa....they are always right..LOL
wapendwa MMU,
ni udadisi tu...
Ni kwanini vdume walio na status ya kuitwa gentleman wanakuwa wahanga wa....
- kutamkiwa lolote na wenzi wao
-kubishiwa hata kama hoja yako kwa mwandani wako ni ya msingi
-kuingiliwa ktk ratba zako za kimaendeleo haijalishi umemweleweshaje mwenzi wako...
Nawakilisha......
Ni kweli kabisa VoR..si unajua hata maandiko yanasema...mwanamke mwenye hekima anaijenga nyumba yake, na mpumbavu anaibomoa kwa mikono yake mwenyewe! So ni muhimu kuwa na hekima...!
Yaani hayo uliyosema nina uhakika kwamba:-
Keren_Happuch = A LADY...
wapendwa MMU,
ni udadisi tu...
Ni kwanini vdume walio na status ya kuitwa gentleman wanakuwa wahanga wa....
- kutamkiwa lolote na wenzi wao
-kubishiwa hata kama hoja yako kwa mwandani wako ni ya msingi
-kuingiliwa ktk ratba zako za kimaendeleo haijalishi umemweleweshaje mwenzi wako...
Nawakilisha......