Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa Tanzania ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani.
Halafu always utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati mpaka juu. Huwezi kuwakuta wanatanua hovyo they always stays on the queue halafu ni ndinga flani hivi za heshima. Big up kwenu nyote mnaomiliki LR Discovery 2 na kuendelea