Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
How old are you!Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa TZ ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani. Halafu alwayz utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati mpaka juu. Huwezi kuwakuta wanatanua hovyo they always stays on the queue halafu ni ndinga flani hivi za heshima. Big up kwenu nyote mnaomiliki LR Discovery 2 na kuendelea
Yaani kwa sasa gentlemen cars in town kwa TZ ni Land Rover Discovery kuanzia series 2 na kuendelea. Wanaoendesha haya magari kwanza ni watu fulani hivi wanaonekana ni wastaarabu na wasio na vurugu barabarani. Halafu alwayz utawakuta vioo vipo juu, hii inaonesha ni watu wa kipato cha kati mpaka juu. Huwezi kuwakuta wanatanua hovyo they always stays on the queue halafu ni ndinga flani hivi za heshima. Big up kwenu nyote mnaomiliki LR Discovery 2 na kuendelea
Zero na kuendelea, karibu kwny ulimwengu wa povuHow old are you!
Ukikua utabadilika.Zero na kuendelea, karibu kwny ulimwengu wa povu
Nitabadilika nikishaachana na matoyota nikahamia ndinga za UlayaUkikua utabadilika.
Braza unamiliki toyota gani vile?Ukikua utabadilika.
Ipi braza maana kuna disco 2,3,4, sport nkKwani hii gari mpaka kuwa nayo mkononi bei gani kwanza
Ipo ford ranger bei na ushuru sawa na probox ila hizo wildtruck na ndugu zake bei zake zimechangamka kama zenyewe ila ni gari zenye nguvu mno kama ya Simba na mapumziko yapo.Nazipenda hizo gari hasa old model discovery TD1 5 !!!! Acha tuuu pamoja na Ford ranger ila uwezo wangu ni wa probox !!!