Geof Leah: mpinzani wa Yanga msimu huu atakua ni Azam Simba bado sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
... [emoji772] 𝗧𝗒𝗣 (3) 𝗬𝗔 π—šπ—˜π—’π—™ π—Ÿπ—˜π—”π—›

"Mpinzani wa Yanga msimu huu 24|25 ni Azam FC sio Simba. Kuhusu Ubingwa nampa Yanga 50%, Azam 30% na Simba 20%"

"Simba bado inajengwa hivyo hawawezi kubeba Ubingwa msimu huu"

[emoji2399] Geof Leah

Shabiki wa klabu ya Simba na Mchambuzi wa kituo cha Crown fm radio [emoji343]

#HapaniHabariSahihiTu
#MpiraWaAfrika....
 
Yeye ni Nani kwenye soka ?
 
nimeamini watanzania hawajui mpira daaah inasikitisha.

Yaani mpira unadunda ni sawa japo kwenye tope mpira haudundi lakini nasema hivi Simba anaweza kufanya lolote misimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…