Geof Leah ni Bora ungeomba msamaha kwa viongozi wa Yanga na mashabiki kwa ujumla kutokana na kauli zako zisizo na mashiko

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha mashabiki wa kuwa Yanga haliwezi kucheza fainali.

Geof Lea umegeuka kuwa mtabiri wa nyota Kama shehe Yahya ama Yule pweza wa Ujerumani.

Nimesikiliza uchambuzi wako nimegundua kabisa "You know nothing about football" Ila unachambua mpira kinafiki/kishabiki ili upate comments/likes kwenye social media.

Unajiita mchambuzi kabisa unasema Yanga itakufa magoli matatu! Wewe ni mchambuzi wa Aina gani na namna gani na unatumia factors zipi mpaka unasema kuwa Yanga itafungwa magoli matatu??

Usipoomba radhi kutokana na kauli yako/utabili wako/uchambuzi wako wa mchongo kesho kutwa utakula matapishi yako uliyoyatapika.

Mpira dakika 90 acha mpira uchezwe ndiyo uje kutapika maneno yako.

 
Wachambuzi uchwara ni wakuwapuuza tu....
 
Acha aendelee kuishi katika zama za kuona kuwa Yanga haiwezi kufanya mambo ambayo yeye ameulazimisha ubongo wake uone hayawezekani.

Ameamua kulazimisha aamini vitu vyepesi kuwa vigumu , Yanga imemthibitishia na bado haamini dunia hii haijawahi kuwa na uhaba wa watu wanaotaka kuamini mpaka waone kwa macho yao kama Thomaso wa kwenye biblia.
 
Jinga sana huyo jamaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo mkiambiwa ukweli kumbe ni kosa
 
Mtopolo mwenzako huyu
 
Utopolo kweli ni utopolo. Kwa hiyo pale Supersport hujawahi ona wachambuzi wakitoa utabiri?

Mtangazaji anamuuliza mchambuzi your prediction? Kuffor anajibu 3-1 to Madrid. Sasa nyinyi Utopolo ni nani msitabiriwe kufungwa na wachambuzi wakati ni kitu cha kawaida na wachambuzi wakubwa huwa wanafanya hivyo.
 
Uyo jamaa mwenye mdomo kama panya alishaumbukaga mwanzo alivyotabiri Yanga atafungwa ila ikawa sivyo wala haina haja ya kumjibu
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Ambacho mnashindwa kujua, saiv baadhi ya wanaojiita wachambuz wanitumia turufu ya kuiponda yanga ili kujitangaza zaid, mfano... Bin kazumari na Mzee wa Jambia.
Its true ni wachache sana waliokua wanakjua Wilson Oruma but kupitia kuiponda na kuwaandika vibaya wachezaji wa yanga, I think now jamaa anajulikana sana, na mambo mengine kama hayo
 
Sasa aombe radhi Kwa lipi wakati yeye ameshajipambanua ni shabiki wa wapinzani wa Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…