Geoff Lea alijuaje kuwa Nkane atasawazisha??

Hawabashiri wafungaji mkuu elewa kataja kabisa atae sawazisha
Mbona ni jambo la kawaida hilo kwenye mpira ndgu yangu, kinachokutisha na kukushangaza namna hiyo ni kipi??

Maana hata kwenye kubet hizo option za kuchagua nani atafunga, goli ngapi, dakika kuanzia ya ngapi, mpira utatoka mara ngapi, kona ngapi yote hayo watu wanabet na wanapiga hela.
Labda ni vile tu wao hawana access ya kujulikana kama huyo mwamba.

Hongera zake na anajua ila ushangaaji wako umenistua ni kama kitu kiipyaa sana.
 
Hata Mimi huwa nabet iyo option kupatia Sasa umeongea too theoretical
 
Mechi hii labda wameamua wapige pesa
....tena kwa correct score ya 3:3 itakua odds zilikua kubwa.....
 
Geofrey Lea ni mwanafunzi wangu namjua Sana.Ana akili nyingi Sana sema huwa hapendi kuzitumia vizuri.Nilikuwa nikimwambia haya hata yeye mwenyewe.
 
Ni vitu vya kawaida tuu. Ata mimi naweza sema fulani atafunga ikitokea amefunga mambo yanakua upande wangu na kila mmoja anaona niko sawa.

Tuna play epl fantasy kuna muda unakua unaamini kabisa leo salah pale kuna penalty na ata score then una captain. Je wale wana bet exactly score ni jambo la kawaida. Ukipata kila mmoja anaona wewe mwamba.
 
Ila kweli iyo inatokwnw na kumpenda mchezaji ubora wake na w weakness za wapinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…