Geoffrey Kaburu hatimaye amenyolewa na kamati ya uchaguzi ya simba katika harakati za kuwania uenyekiti wa klabu hiyo.

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Haya hapa majina ya waliopitishwaView attachment 2457709
shaffihdauda_-20221225-0002.jpg
View attachment 2457708
 
Achana na maneno ya vijiweni mkuu. Ni mechi gani yyte unayoikumbuka Kaburu aliiuza club Kwa wapinzani
Achana na mechi unakumbuka ishu ya amisi tambwe kamaliza msimu ni topscorer ligi kuu jamaa akamuuza yanga kwa kudai eti kaishana yanga akaenda tena kubeba kiatu......pale ndio niliona kaburu hafai
 
Yule alipelekwa na marehemu Hanspope Tena alisema alikuwa anamsaidia baada ya phiri kumkataa
 
Back
Top Bottom