Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

... maamuzi yote ya Wasafi wanafanywa na Diamond kusaga Ni sehemu tu ya wawekezaji lakini Hana mamlaka yoyote ndani ya Wasafi so why uwezi kumkuta board ya Wasafi utamkuta Diamond ...

Tatizo lenu mnachukulia JF kama kijiwe cha vilaza kama nyinyi.

Unakurupuka na kuandika eti mtu mwenye hisa zaidi ya 51 hana mamlaka yoyote.

Nakushauri kajifunze vitu vifuatavyo:-

1. Mkurugenzi (Director)
2. Mkurugenzi mtendaji (Executive director)
3. Controlling and non controlling shareholding
4. Voting rights
5. Level za maamuzi (kipi kinaishia kwa CEO na management, na kipi kinaenda kujadiliwa na Board.

Ukishajielimisha juu ya hayo, utaweza kupata picha ni kwa namna gani utendaji na maamuzi ulivyo kwenye makampuni.
 
wabadilike sasa.
Tasnia ya Habari imekuwa kama mchezo wa soka.
Usipowalipa vizuri wachezaji wako watahamia timu pinzani.
Ni kweli ila huyo unaemsema kanunuliwa gari, amenunuliwa kwa dhumuni nje ya hilo unalolizungumzia.
 
Clouds njaa Sana kwa style hii wataondoka wengi kipindi kile Cha ruge pamoja na kwamba walikuwa wanalipwa kidogo lakini ruge alikuwa anajua namna gani ya kuhandle
Alitokaje Azam ambako mnasemaga wanalipa vizuri akarudi Clouds??

Ishu sio kulipa vizuri,ishu ni watu kupanda dau sana kwa target wanazozitaka..let say unaambiwa utalipwa 2x ya mshahara wako wa sasa??

Unachotakiwa kujua ni kuwa mshahara unabidi uwe fair tu and not otherwise..Hata hapo Efm anaweza kutolewa tena,utasema Efm hawalipi vizuri??
 
Ruge Ali kuwa master ana plan na mikakati kabambe .

Ana connection zote kwa kifupi Ni bwana was mjini sio mtoto was mjini


Ukimdiss ruge utasaga soli mjini na mbaya zaidi alikuwa na akili sana yaani njia pekee ya kimshindwa ruge Ni umzidi akili na uthubutu

Ndio maana akina majizo wanasema gemu limepoa since Ruge afariki yaani unakuwa na jamaa mmoja ana akili sana halafu sio roho mbaya Ila anakufanya uumize kichwa daily Ni namna gani utazipangu plan zake na kumake mtonyo mwingi

RIP Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu jamiiforums kuna vitu vingine unavisoma mpaka unashangaa.

huyo jamaa ulimquote sidhani hata kama ana uelewa wa kampuni zinazomilikiwa kwa muundo wa hisa

Kwa alichokiandika basi mtu kama Steve Jobs asingefukuzwa apple 1985.
 
Hawataki kabisa kumwonyesha kwamba Diamond ndio CEO hata kama hisa zake ni chache kidogo ila hawaelewi kwamba unaweza ukawa na hisa kidogo ila jina lako au uzoefu wako katika kazi flani ikakufanya wewe kuwa kiongozi mkuu hata kama hisa zako.
Wabongo hawajazoea kuona mtu anaanza kuimba na kufika pale, wao wamezoea msanii baada ya miaka kadhaa anampigia magoti ostaz juma au anakua teja.
Ndiyo maana hawataki kuelewa
 
Hv Gadna G si alitoka CMG akaenda EFM na baadae akarudi tena CMG!
 
Humu jamiiforums kuna vitu vingine unavisoma mpaka unashangaa.

huyo jamaa ulimquote sidhani hata kama ana uelewa wa kampuni zinazomilikiwa kwa muundo wa hisa

Kwa alichokiandika basi mtu kama Steve Jobs asingefukuzwa apple 1985.

Tukipata nafasi tunaelekezana, kwa mwenye nia ya kujifunza hatakosa kutoka na kitu.
 
Wewe ni msemaji wa wasafi media hapa Jamii forum ?

Nakala ya majibu ifike kwa
Numbisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…