Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

Unashindwa kuelewa kitu kimoja....Brand ipo kabla ya hiyo management.....
Suala sio brand kuwepo kabla, management iliyopo inaitambua hiyo brand na ina umuhimu mkubwa umeng'ang'ania tu brand no matter, ilikuwepo au ipo unajua inavyojiendesha???
 
Suala sio brand kuwepo kabla, management iliyopo inaitambua hiyo brand na ina umuhimu mkubwa umeng'ang'ania tu brand no matter, ilikuwepo au ipo unajua inavyojiendesha???
We jamaa bana[emoji3]

Kwanza management imetokea wapi ? Nina insist kweny brand coz ndio kila kitu kilipoanza na kilipolala...hapo juu credit zimeenda kwa kusaga as if yeye ndio kafanya wasafi iwe wasafi... hebu kasome ile comment niliyo quote kwanza...na sijaquote peke yangu,kaangalie reply zote

Kama utashindwa kuelewa nimachosimamia hadi sasa..sina muda wa kubishana...
 
Reasoning capacity yako ndogo sana!
 

Mkuu, kuwa na umiliki wa hisa kwa 51% sio sahihi mtu akisema hana mamlaka yoyote.

Sio sahihi pia kuamini kwamba kuwa na hisa 45% au chini ya hapo tu kunaweza kutosha kuwa Mdogo kwa maamuzi dhidi ya mwenye 51%.

Ninacho maanisha ni kwamba, mtu anaweza kuwa na umiliki Mdogo kiasilimia lakini akawa na nafasi kubwa ya kimaamuzi kuliko mwenye asilimia kubwa ya umiliki. Moja ya sababu ni Makubaliano binafsi ya kisheria baina ya wamiliki.

Kwenye hili la Wasafi, wengi tunafahamu tu asilimia za umiliki mengine hatujui. Pengine mwenye asilimia kubwa ana maamuzi zaidi au mwenye asilimia ndogo ana maamuzi zaidi. Tofauti na hapo, wanaohitimisha ni ushabiki tu.
 
mayowela Katika vipindi hivyo vyote kipi kwako unaona ni Bora kuliko vyote na panga kwa mpangilio kuanzia moja mpaka ya mwisho
1. Kuna live session huwa inafanyika Wanene tv,Online ni hatari sana japo watu hawaizingatii
2. HOMA TVE
3. WASHA KIDEO
4. BIG SUNDAY LIVE
5. THE GIANT clouds plus
Hapa vigezo ni vingi, kwa sound, picture quality, live performance Wanene tv kawaacha hawa wote mbali sana
 
Mwenye data atujuze, nini kilichomkimbiza Jeof Lea pale Azam TV? Mahali ambapo kila mtangazaji anatamani awepo kutokana na mishahara yao minono?
ila azam kama kampuni in general mgalatia inakua ngumu sana kudumu,,,,,, sijui kwenye media ila huko kwingine ni kazi kweli kudumu bila [emoji1401]
 
ila azam kama kampuni in general mgalatia inakua ngumu sana kudumu,,,,,, sijui kwenye media ila huko kwingine ni kazi kweli kudumu bila [emoji1401]

Ukisema mgalatia unamaanisha kuna udini pale ndo maana watu wanakimbia?
 
Wabongo hawajazoea kuona mtu anaanza kuimba na kufika pale, wao wamezoea msanii baada ya miaka kadhaa anampigia magoti ostaz juma au anakua teja.
Ndiyo maana hawataki kuelewa
Wabongo wamelelewa kushindwa ndio maana mtu akichomoka kimaisha utasikia wanasema mali si yake kumbe usawa huu unaangalii maeneo ambayo upo vizuri kisha unamshawishi mtu mwingine achangie mtaji hata kama atatoa ela nyingi kuliko wewe lakini bado ukawa msimamizi mkuu
 
Marehemu Ruge alikuwa talented sana kuna vitu alikuwa anawaongezea wafanyakazi wake kujibland. Sio kwamba walikuwa wanamuogopa, nadhani walikuwa wanamuheshimu.

Kuhusu wafanyakazi kuhama, huu ni utaratibu wa kawaida. Huwezi kuacha sehemu ya kupata mia 2 ukabaki sehemu ya mia 1 wakati upo kwa ajili ya pesa. Kumbuka hawa watu wana mikataba ya mwaka mmoja mmoja, hivyo kila baada ya kuisha mkataba inategemea una offer gani mkononi kabla hujakubali kuendelea hapo hapo
 
Clouds ruge alikuwa anaibeba sana.

Kusaga haitendei haki clouds , nguvu kubwa kaiwekea wasafi media..

Yaani tajiri wenu ana kampuni mbili zinazoshindana.. halafu moja anaiwekea nguvu kubwa , lazima wafanyakazi mjisikie vibaya...msepe
Clouds mali ya familia ambako kila mwanafamilia ana sharubu, Wasafi Media ni yake binafsi, hivyo ni wazi ataiangalia mali yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…