LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
nimeanzisha elimu kwa njia ya mtandao (online learning) kwa somo la geography hivyo nawakaribisha wote watakao vutiwa na darasa hili. nitatoa jina la mtandao huo muda sio mrefu kwani bado namalizia kuweka mambo sawa
utahusu makundi yafuatayo.
1. ordinary level (1-4)
2. advanced level (5-6)
utahusu makundi yafuatayo.
1. ordinary level (1-4)
2. advanced level (5-6)