GEOINFORMATICS wale wa ARU

vip kuhusu na soko la ajiraa kwasababu hi nikozi mpyaa kwa monekano flan ilianzishwa mwaka 2010 kwa maana hyoo product yake hapo mtaani kabxaa je ajira ipo na nikiasi gan? naomba niseleweke vbaya napenda kujua kiundand ktu ninacho kwenda kukisoma

Sio course mpya kwa sababu hapo mwenza ardhi kulikua na course inaitwa bsc in land surveying so hio geomatics na geoinformatics ilikua zinajumlishwa..but baadae ndio wameamua kubagua na kuweka hio geomatics,geoinformatics na pia kulikua na geodetic science but imefutwa na baadhi ya course zimechomekwa kwenye geomatics..mtu wa geomatics na wa geoinformatics wanashare course mpaka mwaka wa 3 ndio mnatengana..ila sikufichi kama utasoma hio course basi umelamba dume coz ni course ambazo zina market sana..siongei kufagilia nina evidence na watu waliograduate..wanapiga hela ya maana huko migodini ndio usiseme..pia katika kampun za construction na kampuni za mabaraba..kule NBS waliwachukua karibia wote watu wa geoinfo coz ya zile raman za sensa zinachorwa na wao..kuna mradi upo chn ya REA(rural energy agency) ambayo ipo chn ya wizara ya nishati na madini wana wanataka watu wa geomatics na geoinformatics..mm mwenyewe nataka kuajiriwa ktk idara ya ardhi ya zanzibar ili nije nisomee hio course wataalam hakuna.kwenye issue za petroleum nazo ni dili pia..yaan survey is everywhere.kwa hio utanikuta mzenj pekee ambae nipo hapo class napiga course ya hela geomatics..all the best..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…