Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa.
Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ?
Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina dhababu nadhani ni huko Asia.
Je, ni kwamba hatujajikita kwenye utafiti au ndio tuko bize na uchumi wa buluu.
Nawasilisha.