Kuna Haja gani ya Kuchimba madini wakati Tanganyika ipo? Italeta FaidaNajaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa.
Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ?
Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina dhababu nadhani ni huko Asia.
Je, ni kwamba hatujajikita kwenye utafiti au ndio tuko bize na uchumi wa buluu.
Nawasilisha.
Kwahiyo shinyanga kuna majivu ya volcano na inapatikana, lakini around mount kilimanjaro mbona hakuna almasiTafuta kwanza asili ya miamba ya kisiwa chenyewe, Je ni volcanic, sedimentary, metamorphic?
Baada ya hapo ndipo utakuja kuuliza swali lako mkuu.
Mfano almasi inapatikana zaidi kwenye miamba yenye asili ya majivu ya volcano.
Migodi yao ipo Tanganyika.Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa.