GEOMATICS vs CIVIL Kozi ipi inamaslahi

young_mesult

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
133
Reaction score
35
Eti wenzangu wana JF ushauri wenu ni wa muhimu..ipi ni nzuri zaidi ya mwenzake kati ya geomatics na civil kuanzia upande wa upatikanaji wa ajira bongo hadi inavyofundishwa vyuoni..kwa anayejua msaada.
 
Na ni chuo gani ambacho kipo vizuri katika kila moja..
 
Kwa bongo course sio issue unaconnection?
 
Eti wenzangu wana JF ushauri wenu ni wa muhimu..ipi ni nzuri zaidi ya mwenzake kati ya geomatics na civil kuanzia upande wa upatikanaji wa ajira bongo hadi inavyofundishwa vyuoni..kwa anayejua msaada.

nenda kapige Geomatics ipo poa sana...nenda Ardhi
 
Usidanganyike na majina. Nenda kasome Civil Engineering kwa sababu moja tu. Angalia mtaaani kama kuna Civil engineer yupo mtaani hana kazi. lakini ho wa Geomatics wengi tu ajira bado ni tatizo kubwa.
 
Usidanganyike na majina. Nenda kasome Civil Engineering kwa sababu moja tu. Angalia mtaaani kama kuna Civil engineer yupo mtaani hana kazi. lakini ho wa Geomatics wengi tu ajira bado ni tatizo kubwa.

Sawa kaka ushauri wako ni wa muhimu...
 
kosa la pili kwa elimu ya bongo unasoma ili upate kazi,kazi zenyewe wanapeana wenyewe,naungana na mchangiaji hapo anza kutafuta na conection mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…