Huyu jamaa no shida jumapili hii nenda utakuja kutuambia
Apo kwenye fungu la 10 ni sawa kabisa mkuu, soma malachi 3 utaona jinsi ni muhimu kutoa fungu la 10Juzi nilipata bahati ya kumsikiliza katika Radio inayoitwa N.Y.U [ngurumo ya upako radio] huyu bwana ameirahisisha dini mno, sioni kama anatofauti na yule kibwetere wa Uganda, kwa kifupi ni kama mungu mtu. Anajikweza sana, anajisifu sana, inafika mahahali alisema eti akiwa mdogo alioneshwa na Mungu kuwa bibi yake atakufa miaka mitano ijayo[wakati huo, na alimwambia bibi yake hivyo, wazazi wake G.D eti walikua karibu na walimfukuza ili asiendelee kuongea vile mbele ya bibi yake, na akasema ndani ya ile miaka 5 yule nyanya yake kweli alifariki] waumini wanashangilia na kupiga vigelegele. Ama kweli hakuna biashara inayokosa wateja. Huyu bwana ni mpotoshaji mkubwa wa biblia, na anasisitiza sana michango hasa fungu la 10, nawahurumia hawa waumini ambao ni fukara sana, ifike mahali serikali itupie jicho watu kama hawa la sivyo umasikini hautaondoka katika jamii zetu
Huyu na Geordavie ni kwikwi nilimfahamu Channel kupitia Geordavie hawa mabroo ni wasaka noti mbaya ila...... Ukipata chance nenda j2 mojaSipo arusha mkuu ila natamani sana siku nikiwa huko niende kwa kanisa lake...
Kuna rafiki yangu alisemaga channel ni nabii wa uongo....habari zikamfikia channel akasema apewe namba yake ampigie anene maneno matatu tu jamaa afe....nilichoka kweli kweli kama mtumishi wa Mungu anaweza kusema eti aombe mtu afe...kwani Mungu ni muuaji??kweli tuna haja ya kuwa makini na hawa wanaojiita manabii..
Nawakubali sana kwa kusaka hela. Ni wajasiriamali wazuri sana. Ila kwa kutumia neno la mungu kujipatia kipato ni vibaya mno. sitawaamini kamwe manabii kama hawa. Wajinga ndio waliwaoHuyu na Geordavie ni kwikwi nilimfahamu Channel kupitia Geordavie hawa mabroo ni wasaka noti mbaya ila...... Ukipata chance nenda j2 moja
Nawakubali sana kwa kusaka hela. Ni wajasiriamali wazuri sana. Ila kwa kutumia neno la mungu kujipatia kipato ni vibaya mno. sitawaamini kamwe manabii kama hawa. Wajinga ndio waliwao
sasa we unataka kuombewa ununue gari hallafu unato a buku, lazima utoe milioniNasikia hawa jamaa eti kuna kiwango cha maombi na kiwango cha pesa...kwa mfano ukitaka kuombewa maombi yako yanatathiminiwa unaambiwa haya maombi garama yake ni buku 10...20....50...100k etc etc...kama ndivo basi hawa jamaa ni zaidi ya kwikwi...
sasa we unataka kuombewa ununue gari hallafu unato a buku, lazima utoe milioni
Apo kwenye fungu la 10 ni sawa kabisa mkuu, soma malachi 3 utaona jinsi ni muhimu kutoa fungu la 10
ni kweli kaka,....Unawtafuta wa nini hawa mkuu. Hawa wote ni manabii wa siku za mwisho. Don`t west yr time. Shika sna kile ulichonacho asije muovu akakunyang`nya
huwezi kumuona Mungu kwanjia hiyo ndugu,...naona jamaa ameamua kutuma jeshi la kumtetea,wapi imeandikwa mume akikupiga ukimbilie ukalale na mtumishi wa mungu aka nabii na mtume na uhamie kabisa kwake?utelekeze na watoto?hiyo ni roho au unyama?hata biblia inasema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE,nyie mnaotetea huu uchafu MUNGU anawaona.huu unafiki wa kilokole ndo nisioupenda,bora nibaki na biblia yangu niisome ndani kwangu nimwombe mungu wangu kuliko kujifanya mtu wa maombi na kulia mbele za watu kumbe unafiki mtupu.only GOD will judge me.
Askari huwa wanakodishwa na mtu yeyote2,..Hivi hao askari wamekosa Kazi?