Geor Davie ni nani?

hivi huyu jamaa mbona hasikiki tena ??
 
hivi huyu jamaa mbona hasikiki tena ??

Ww ndo husikiki,yupo Ariusha Kisongo,ukitaka kuijua radio ya huduma inaitwa Ngurumo ya Upako Fm,na Ikulu yake iko Njiro..any question???na huduma yake Tawi la Dar ipo Kawe Tanganyika packers,Morogoro,Moshi,Babati,Mwanza..una swali lingine???
 
Haa hivi hadi ikulu anayo ?? Kitu gani kinamfanya awe na atembee na walinzi binafsi wakati yeye ni mtumishi wa Mungu ? Yesu mwenyewe hakuwa mtu mwenyekupenda makuu hata kidogo . Why geor devie ?
 
Cjawai ona mtumish analindwa na walinzi mh hii kali nikujiinua tu hana lolote..
 
HII NDIO JAMII FORUM KUNA WATU WANAJUA KULIKO UNAVYOFIKIRI....SAFI MKUU NGONGO HESHIMA KWAKO.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
 
Daaah....! Yaani ni rahisi kweli kutajirika kwa mgongo wa Yesu kupitia Wagalatia !
Sasa hivi wamegawa kanisa yeye na mshikaji wake !

Niulizeee........kwanini wateja wengi ni wanawake ?
 
Ww ndo husikiki,yupo Ariusha Kisongo,ukitaka kuijua radio ya huduma inaitwa Ngurumo ya Upako Fm,na Ikulu yake iko Njiro..any question???na huduma yake Tawi la Dar ipo Kawe Tanganyika packers,Morogoro,Moshi,Babati,Mwanza..una swali lingine???

Umo kwenye kamati ya kukusanya bahasha nini !?
 
Huyu jamaa alivuma sana palw A town ila kuna skendomoja ya mke wa mtu ilimwalibia h
Toka hapo hajainuka tena umaarufu ukapungua na waumini wake wakapungua sijui sasa make nina mwaka na nusu sijatia mguu AT. Ila enzi zake du alikua Mungu mtu
 
Lord have mercy on us sinners!! Puuuuuuuuuuu, inahuzunisha sana!
 
Ahsante mkuu.....Huyu jamaa alikuwa Tishio hapa Arusha, watu walikuwa wanamiminika kama siafu huko Kisongo...

Ila sasa hivi kachuja ile mbaya karibu ataikimbia Arusha..
 
Hapo kwenye " Geor Devil"........Khaaaaa
 
Mtu anaijisifu mno! Mpaka watu wahisi kuna walakini, Siku moja nilisikia akisema wachungaji wengne wakitaka kuwa na watu kama yeye ni lazima wafanye miujiza.
 
Ni msanii mmoja anajiita nabii anaedanganya watu hasa hasa wanawake yupo kisongo arusha na kwa sasa anajiita vyeo karibu vyote humu duniani kama mtume, mstaiki, muheshimiwa, nabii, baba, doctor, muashamu na unapomtaja unatakiwa uanze na vyeo ivyo vyote ndo utaje jina lake
 
Mkuu nataka kufanya Ka-utafiti kadogo kwann wanawake ndo wanakuwa wahanga wa hawa matapeli wa Wokovu...Makanisa kanjanja yote 90% ni Wanawake....
 
View attachment 38938
H. E. Hon. GeorDavie with the 1st. Lady Anna as they are entering the Arusha Stadium during the Historical Healing Crusade in Nov. 19 - 21, 2010

Hakuna dini hapo,Yesu hakuwahi kuwa na utukufu kama waigizaji hawa,hapo ni biashara kwa kwenda mbele,wananeemeka kwa kuwanyonya waumini,ama kweli hawa wanaojiita watumishi wa Mungu si watumishi wa Mungu bali ni watumishi wa shetani na mapepo
 
Mkuu kwasasa ana Makadinali nafikiri karibia atajiita Papa Geo davie.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…