George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge.

Kitenge ametuuza sana sisi Yanga kwa kutupa matumaini ya kishenzi. Uswahili swahili mwingi sana kitenge.badala ya kutushauri vizuri yeye anazidi kutupotosha na ktk hili wengi tumempasha kuwa aache usxxxe kabisa.

Oscar Oscar naye ni mtu mmoja mpuuzi ambaye naye anajiita mchambuzi wa mpira. Tunajua lengo lake siku zote ni kutafuta followers. Amekuwa akipost upuuzi sana.

Ambangile endelea kusimamia unachoamini katka tasnia hii. Utafika mbali.ipo siku watu watagundua umuhimu wa matumizi sahihi ya taaluma zao.
 
Kitenge anamualika studio Juma Magoma, hakuna alichozungumza zaidi ya historia ya Manara na kuwashutumu viongozi wa serikali
 
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye ntaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge...
Hao unaowaita wapuuzi kwanini usiache kuwafollow?
 
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge.

Kitenge ametuuza sana sisi Yanga kwa kutupa matumaini ya kishenzi. Uswahili swahili mwingi sana kitenge.badala ya kutushauri vizuri yeye anazidi kutupotosha na ktk hili wengi tumempasha kuwa aache usxxxe kabisa.

Oscar Oscar naye ni mtu mmoja mpuuzi ambaye naye anajiita mchambuzi wa mpira. Tunajua lengo lake siku zote ni kutafuta followers. Amekuwa akipost upuuzi sana.

Ambangile endelea kusimamia unachoamini katka tasnia hii. Utafika mbali.ipo siku watu watagundua umuhimu wa matumizi sahihi ya taaluma zao.
Salamu za washabiki wa Simba kwa Kijola aka Kidoti hizi hapa
FB_IMG_1626660610307.jpg
 
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge.

Kitenge ametuuza sana sisi Yanga kwa kutupa matumaini ya kishenzi. Uswahili swahili mwingi sana kitenge.badala ya kutushauri vizuri yeye anazidi kutupotosha na ktk hili wengi tumempasha kuwa aache usxxxe kabisa.

Oscar Oscar naye ni mtu mmoja mpuuzi ambaye naye anajiita mchambuzi wa mpira. Tunajua lengo lake siku zote ni kutafuta followers. Amekuwa akipost upuuzi sana.

Ambangile endelea kusimamia unachoamini katka tasnia hii. Utafika mbali.ipo siku watu watagundua umuhimu wa matumizi sahihi ya taaluma zao.
Sawa...binafsi nimekuelewa...ila pengine nikuulize: je wewe umebaki na msimamo upi?
 
Back
Top Bottom