Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
" Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping.
Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza kupooza presha ya mashambulizi, ni mzuri sana katika kupanga mabeki wake yaani ni kiongozi kutokea nyuma ya timu.
Mchango wake mkubwa umeibeba sana Yanga msimu huu. Naweza kusema kwa upande wangu mchezaji bora wa msimu ni Djigui Diarra. "
Hayo ni maneno ya George Ambangile wa Wasafi Fm