George Bantu amefit Jahazin Naomba nimfaham Kidogo

fadtanji

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
767
Reaction score
998
Naomba kumfaham vizuri huyu jamaa mwenye sauti nzito anaetangaza kutoka clouds media kwenye kipind cha Jahaz. Mzaliwa wa wap na amesoma wap?
 
Mawingu walimuiba huko Ea radio pamoja na yule dogo kennedy wa xxl. Bantu pamoja na huyo kennedy walipokuwa East Africa walikuwa wakitangaza pamoja kipindi kijulikanacho kama East Africa drive, ambacho kwasasa wanapiga wale wakenya.
 
Jamaa amepata kazi kwa sababu ya sauti yake tu ni heavy tone
 
Naomba kumfaham vizuri huyu jamaa mwenye sauti nzito anaetangaza kutoka clouds media kwenye kipind cha Jahaz. Mzaliwa wa wap na amesoma wap?
Jamaa ni mtoto wa mchungaji. Ametokea EA radio , alichukuliwa yeye na kenedy the remedy pamoja na mammy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…