sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Haya maandamano hayana tena nia ya kutafuta haki, bali kutunisha mifuko ya majangiri, kinachoendelea huko kwa sasa hakihusiani na marehemu na kimegeuza protests kuwa riots.
Vifo vya wamarekani weusi kwa kuuwawa na mapolisi pengine vimegeuka kuwa discount ya asilimia 100 kupata bidhaa madukani bure kabisa na huenda makanjanja wataanza kutengeneza script kabisa siku za mbele watu wengi zaidi weusi wauliwe na mapolisi ili mifuko itune.
Kifo cha George hakikuwa cha haki lakini hiki kinachoendelea kimechukua maisha na mali za watu zaidi.
Yote kwa yote magavana wa maeneo yenye hili tatizo wamekuwa wagumu kuwapa ruksa national guard watatue tatizo kwa sababu za kisiasa, Trump kaahidi kuweka jeshi mitaani endapo magavana wataendelea na kiburi