Wadau wa mitandao mnafahamu mfumo huu ambao kuna watu wasiojulikana a.k.a (Anonymous) na wanaingia kwenye mtandao kwa kujificha ili kutimiza lengo husika kwa makusudi yao.
Toka mwaka 2017 katikati hawa jamaa hawakuwa na haja ya kuhack mitandao kwa nia yoyote na siyo kwamba walikuta ugumu lah, ila walipotezea kiaina, ila baada ya sakata la kwa George Flyod kumewaibua tena.
Tunaweza kusema, anonymous wamevamia na kushambulia mtandao wa jimbo yalikoanzia mauaji huko Minneapolis. Pamoja na hilo wame-hack mitandao ya redio za polisi na kuanza kufanya maongezi ya ajabu na polisi.
Wametengeneza kirusi kinachomponda Trump kuanzia na tabia zake za nyuma mpaka sasa na kirusi hicho kinaonekana kama
NB. Hii vita inaweza kuwa ni zaidi ya kifo cha George.
Wadau wa mitandao mnafaham mfumo huu ambao kuna watu wasiojulikana a.k.a (Anonymous) na wanaingia kwenye mtandao kwa kujificha ili kutimiza lengo husika kwa makusudi yao.
Toka mwaka 2017 katikati hawa jamaa hawakuwa na haja ya kuhack mitandao kwa nia yoyote na siyo kwamba walikuta ugumu lah, ila walipotezea kiaina, ila baada ya sakata la kwa George Flyod kumewaibua tena.
Tunaweza kusema, anonymous wamevamia na kushambulia mtandao wa jimbo yalikoanzia mauaji huko Minneapolis. Pamoja na hilo wame-hack mitandao ya redio za polisi na kuanza kufanya maongezi ya ajabu na polisi.
Wametengeneza kirusi kinachomponda Trump kuanzia na tabia zake za nyuma mpaka sasa na kirusi hicho kinaonekana kama sanamu iliyovaa mask kuziba uso huku kikiongea.
Nimeshindwa kuweka clip ya hii story.
NB. Hii vita inaweza kuwa ni zaidi ya kifo cha George.
Hapa kuna kitu cha ziada kinaibuka kupitia kuuliwa kwa huyo jamaa na inaingia moja kwa moja kwenye siasa ambapo Trump anaweza kuwa na hali ngumu sana, kwenye uchaguzi ujao.