Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Si usubiri matches zote mbili zichezwe ndio uje kubwabwaja.Kuna mwezake amewahi sema Simba ni underdog kilichotokea mpaka Leo nadhani hajaitamkia Simba neno lolote zaidi ya kuimegea mapande
HUENDA YUKO SAWAMchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano.
Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila linapokuja suala la mechi mbili za mtoano hapo ndipo ulipo mtihani kwa Simba SC.
Kwa kauli hiyo ni wazi George Job anaona kabisa kuwa Simba inaenda kutolewa na Orlando Pirates.
View attachment 2186055
View attachment 2186056
Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano.