GEORGE KABADI: Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe imekuwa ngumu hii ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar Mchana.

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
IMG-20241227-WA0008.jpg

Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,

"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
 
Timu ya Lissu haina tofauti na iliyokuwa timu ya marehemu Lowassa kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM 2015. Ilikuwa timu iliyosheheni karibia nusu ya wajumbe wa NEC mkutano mkuu wa CCM.. Kilichomkuta yeye mwenyewe anajua.

Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
 
Endeleeni kumjaza upepo mgombea wenu, akipata kura 5 asisema Mbowe kawahonga wajumbe...maana hanaga breki maneno yakiamza kumtoka kinywani
Kura 5 kweli mbele ya wajumbe 1,200?

Shinyanga tu anakotoka Ntobi (Chawa na Mwenyekiti wao wa mkoa), kuna kura 20+ za wajumbe ambao washadeclare interest kwa Lissu
 
View attachment 3186201

Kama maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe anasema "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "

Wewe huna mchango wowote wa manufaa kwa Taifa hili na watanzania ila ni majungu na majanga tu ndio yanaweza kutoka kwa watu kama wewe.
Umejaa chuki moyoni, Taifa halijengwi hivyo.
 
Timu ya Lissu haina tofauti na iliyokuwa timu ya marehemu Lowassa kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM 2015. Ilikuwa timu iliyosheheni karibia nusu ya wajumbe wa NEC mkutano mkuu wa CCM.. Kilichomkuta yeye mwenyewe anajua.

Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
Una makengeza.Waombe watoto wakusomee.
 
Kura 5 kweli mbele ya wajumbe 1,200?

Shinyanga tu anakotoka Ntobi (Chawa na Mwenyekiti wao wa mkoa), kuna kura 20+ za wajumbe ambao washadeclare interest kwa Lissu
Ndiyo nakwambia endeleeni kumjaza upepo yaani muda huu mngeutumia kumwambia ukweli kwamba uchaguzi mbele yake ni mgumu sana kuliko haya mnayoyaandika ambayo kiuhakisia hayampa kichwa.
 
Timu ya Lissu haina tofauti na iliyokuwa timu ya marehemu Lowassa kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM 2015. Ilikuwa timu iliyosheheni karibia nusu ya wajumbe wa NEC mkutano mkuu wa CCM.. Kilichomkuta yeye mwenyewe anajua.

Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
jiulize bila serkali kuingilia kati ingetokea nn ss yeye ashinde tu Haina Ngoma ni kwenye uchaguzi mkuu atakuja na sera gani
 
Mbowe kwa sasa ni sawa na fuko la mavi, hauziki, hanadiki, ni kama gundu.

Mbowe anategea Ruzuku, huu uchaguzi utaua kabisa saccos yake na ruzuku ataishia kuisikia redioni.
Kwa hiki kinachomtokea Mbowe wala simuonei huruma. Matusi ndio agenda namba moja ya Chadema na Mbowe aliilea wakati Wana Chadema wanawatukana wengine. Leo mmemgeukia mwenyewe! Kazanane kumtukana, wakati huo Lissu awe anajiandaa! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom