Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Mnyama ana bei kubwa sana Zanzibar, hahitaji mnada, tena huko wanahitaji best quality.
Kura 5 kweli mbele ya wajumbe 1,200?Endeleeni kumjaza upepo mgombea wenu, akipata kura 5 asisema Mbowe kawahonga wajumbe...maana hanaga breki maneno yakiamza kumtoka kinywani
Nimecheka kwa sauti aiseee 🤣🤣View attachment 3186201
Kama maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe anasema "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Kura 5 kweli mbele ya wajumbe 1,200?
Shinyanga tu anakotoka Ntobi (Chawa na Mwenyekiti wao wa mkoa), kuna kura 20+ za wajumbe ambao washadeclare interest kwa Lissu
View attachment 3186201
Kama maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe anasema "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Una makengeza.Waombe watoto wakusomee.Timu ya Lissu haina tofauti na iliyokuwa timu ya marehemu Lowassa kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM 2015. Ilikuwa timu iliyosheheni karibia nusu ya wajumbe wa NEC mkutano mkuu wa CCM.. Kilichomkuta yeye mwenyewe anajua.
Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
Ndiyo nakwambia endeleeni kumjaza upepo yaani muda huu mngeutumia kumwambia ukweli kwamba uchaguzi mbele yake ni mgumu sana kuliko haya mnayoyaandika ambayo kiuhakisia hayampa kichwa.Kura 5 kweli mbele ya wajumbe 1,200?
Shinyanga tu anakotoka Ntobi (Chawa na Mwenyekiti wao wa mkoa), kuna kura 20+ za wajumbe ambao washadeclare interest kwa Lissu
Lowasa aliwapata wajumbe kwa kuwanunua, labda ungemfananisha na mbowe.Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
Bila Mbowe kupora uchaguzi kwa msaada wa state machinery, anapigwa saa 2 asubuhi. Hata wewe unajuaNdiyo nakwambia endeleeni kumjaza upepo yaani muda huu mngeutumia kumwambia ukweli kwamba uchaguzi mbele yake ni mgumu sana kuliko haya mnayoyaandika ambayo kiuhakisia hayampa kichwa.
Sio Ntombi wewe ni Ntobi😂Ntombi haifiki Uchaguzi
MBOWE NA LISSU ,wamejua kutukoroga, ila yana mwishoView attachment 3186201
Kama maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe anasema "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
jiulize bila serkali kuingilia kati ingetokea nn ss yeye ashinde tu Haina Ngoma ni kwenye uchaguzi mkuu atakuja na sera ganiTimu ya Lissu haina tofauti na iliyokuwa timu ya marehemu Lowassa kabla ya kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha urais ndani ya CCM 2015. Ilikuwa timu iliyosheheni karibia nusu ya wajumbe wa NEC mkutano mkuu wa CCM.. Kilichomkuta yeye mwenyewe anajua.
Namfananisha Lissu na Lowassa kwa sababu wao wanaamini kuwa wanakubalika na wapo mioyoni mwa watu lakini kiuhalisia haipo hivyo. Ni kujipa matumaini hewa.
Kwa hiki kinachomtokea Mbowe wala simuonei huruma. Matusi ndio agenda namba moja ya Chadema na Mbowe aliilea wakati Wana Chadema wanawatukana wengine. Leo mmemgeukia mwenyewe! Kazanane kumtukana, wakati huo Lissu awe anajiandaa! Ahahahahaha!!!Mbowe kwa sasa ni sawa na fuko la mavi, hauziki, hanadiki, ni kama gundu.
Mbowe anategea Ruzuku, huu uchaguzi utaua kabisa saccos yake na ruzuku ataishia kuisikia redioni.
Sio zanzibar sema IranView attachment 3186201
Kama maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe anasema "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "