Khaaa🤣🤣View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Ila anaweza kuwa na maoni fulani, na si lazima kusema hivyo iwe ndiyo ukweli. Anybody can say anything about anything.View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
DAAAHView attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Hama kaanzishe chama chakoView attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Hajiulizi why kukiwa na mfungo, biashara hiyo hushuka sn?Mnyama ana bei kubwa sana Zanzibar, hahitaji mnada, tena huko wanahitaji best quality.
Mbowe aliombwa na wafuasi wake kugombea. Kura atazipata Kwa wale waliomuomba si lazima anadiwe.View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
FUSO bhana...Ndiyo nakwambia endeleeni kumjaza upepo yaani muda huu mngeutumia kumwambia ukweli kwamba uchaguzi mbele yake ni mgumu sana kuliko haya mnayoyaandika ambayo kiuhakisia hayampa kichwa.
Wenye matusi ni hawa hapa, CCM wenzako...Kwa hiki kinachomtokea Mbowe wala simuonei huruma. Matusi ndio agenda namba moja ya Chadema na Mbowe aliilea wakati Wana Chadema wanawatukana wengine. Leo mmemgeukia mwenyewe! Kazanane kumtukana, wakati huo Lissu awe anajiandaa! Ahahahahaha!!!
Mbowe amechokwa, alipaswa kusoma alama za nyakati mapema.View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Mbowe alishachokwa, nyie wapambe wake mlipaswa kumwambia ukweli.Ndiyo nakwambia endeleeni kumjaza upepo yaani muda huu mngeutumia kumwambia ukweli kwamba uchaguzi mbele yake ni mgumu sana kuliko haya mnayoyaandika ambayo kiuhakisia hayampa kichwa.
Watu wamechoka na maisha, uonevu, kunyimwa haki, rushwa na mengineyo. Nakuhakikishia hata Lissu akiharibu pamoja na risasi zake mwilini, wanyonge watamgeuka chap kwa haraka.View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Hawa wameturoga sana ,mganga wao namtaka nimpe ubatizaji mpya.MBOWE NA LISSU ,wamejua kutukoroga, ila yana mwisho
Kila mtu anajua, Mbowe anavuta mkwanja kutoka kwa Samia. Asiyejua basi ana shida ya ufikiri. HAAMINIKI TENA JAMBAZI HILO.View attachment 3186201
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya,
"Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar "
Wanasahau hayaView attachment 3186201