George Mpole kupewa man of the match NBC wamevurunda

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa

Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
 
Kupitia haya maelezo yako, nimegundua kumbe kuanzisha mada humu jukwaani siyo kazi nyepesi hata kidogo.

Yaani ikiwezekana wengine tubakie tu kuwa ni wasomaji wazuri wa mada za wenzetu.
 
Back
Top Bottom