uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Aug 24, 2024 #1 Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 25, 2024 #2 uhurumoja said: Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya Click to expand... Kupitia haya maelezo yako, nimegundua kumbe kuanzisha mada humu jukwaani siyo kazi nyepesi hata kidogo. Yaani ikiwezekana wengine tubakie tu kuwa ni wasomaji wazuri wa mada za wenzetu.
uhurumoja said: Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya Click to expand... Kupitia haya maelezo yako, nimegundua kumbe kuanzisha mada humu jukwaani siyo kazi nyepesi hata kidogo. Yaani ikiwezekana wengine tubakie tu kuwa ni wasomaji wazuri wa mada za wenzetu.