Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam.
Wote watatu kwa pamoja walikuwa wakituhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa vyuo vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa. Hivyo walikuwa wakishikiliwa gerezani kuanzia mwaka 2020 na kuachiwa mwaka huu 2024.
Pia, Soma:
Pia, Soma: