Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam.
Wote watatu kwa pamoja walikuwa wakituhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa vyuo vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa. Hivyo walikuwa wakishikiliwa gerezani kuanzia mwaka 2020 na kuachiwa mwaka huu 2024.

George Sanga na Wenzake waliobambikwa Kesi ya uongo ya Mauaji na utawala katili wa awamu ya 5, ni miongoni mwa maelfu ya Wanachama wa Chadema waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Chama hicho, Mlimani City, DSM.
Hawa hapa
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Aliyewabambikia kapukutika lakini wao bado wapo hai.
Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam. View attachment 3209333
Wote watatu kwa pamoja walikuwa wakituhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa vyuo vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa. Hivyo walikuwa wakishikiliwa gerezani kuanzia mwaka 2020 na kuachiwa mwaka huu 2024. View attachment 3209330