George Weah ndio the most famous african son na Diamond ndio most famous Tz son

George Weah ndio the most famous african son na Diamond ndio most famous Tz son

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Katika vijana wakubwa sana kuzaliwa Africa. Diamond huwezi muweka pembeni.

According to forbes George weah ndio most famous african son kuliko wote.. baada ya Nelson Mandela ambaye alitingisha sana akiwa mzee ila George Weah wanamuita most famous African son sababu alitingisha dunia kwa age ya son wazazi wake wakiwa hai.

Kwa kuongezea katika raia wote waliowahi zaliwa ardhi yetu ambao ni wa kiume, Diamond Plutnumz ndio most famous tanzanian son.

Kama unapinga unaruhusiwa ila upinge kwa hoja nani ni famous Tanzanian son kuliko Diamond na kwa kitu gani.
 
lini na wewe utakuwa famous ? dume zima linakaa eti fulani ni famous, hbr nyingine kama hizi muwaachiage wadada wawe author

ha ha ha kwa hiyo ushabiki hauruhusiwi kwa mwanaume? unajuaje kama nafaidika na u famous wake... hujui WCB kuna fursa nyingi...

nina dili la kuprint tshirt kwa nini nisikubali mchango wake kwamba ni jembe... haya sasa wewe na chuki zako zinakusaidia nini
 
Na Mimi ni famous son kijijin kwetu call me j
 
Back
Top Bottom