T tabu kuishi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 353 Reaction score 43 Sep 6, 2012 #1 Kuna watu kazi wamepigiwa simu na gep kupewa taarifa ya kuitwa kwenye interview
Man Ngosha JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 219 Reaction score 69 Sep 6, 2012 #2 Mdau funguka vizur,ni kwamba kuna watu wamepigiwa au unauliza kama wameanza?
T tabu kuishi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 353 Reaction score 43 Sep 7, 2012 Thread starter #3 Wameshamaliza kufanya selection ya watu wa oral interview nadhani leo wata anza kupiga simu kwa watu mbalimbali kwa ajili ya oral interview
Wameshamaliza kufanya selection ya watu wa oral interview nadhani leo wata anza kupiga simu kwa watu mbalimbali kwa ajili ya oral interview
Penguin-1 JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 406 Reaction score 65 Sep 7, 2012 #4 Duh kwa ule mtihani....ngoja nitegemee miujiza
S SAMJM Member Joined Sep 1, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Sep 8, 2012 #5 Do hapa nikutegemea miujiza ya mungu itokee