kua kinega sio lazima uimbe.
Wewe kama unatetea haki za watu wanaonyonywa na kudhulumiwa haki zao hasa wasanii au unaguswa na hilo jambo basi wewe ni kinega. ndo maana sasa hivi vinega wapo kila sehemu,mahospitalini,mitandaoni, vyuoni na kila sehemu.