uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Sheria ya financial fair play kwa makusudi inafanya siasa kwa baadhi ya vilabu vya barani ulaya
Ukiangalia timu zinazomilikiwa na serikali kutoka huko uarabuni ni km wapo juu ya sheria wanafanya kila wanachojosikia kwasababu hawategemei mapato ya club kuendesha mpira pesa zinatoka uko uarabuni
Hii sio afya kwa mpira wa ulaya alisema Gerald pique mchezaji wa zamani wa manchester united na Barcelona
Ikumbukwe PSG inamilikiwa na serikali ya katari, manchester city inamilikiwa na utawala wa emirates,new castle inamilikiwa na riadhi
Pia manchester united ipo katika hatua za mwisho kumilikiwa na serikali ya Qatar
My take
Inasemekana kuna kampeni zinaendeshwa chini kwa chini kwa vilabu vya ulaya hasa zile ligi kumi bora kuviondoa vilabu vinavyomilikiwa na serikali au vinavyotegemea mapato ya serikali kuendesha club kushiriki mashindano ya UEFA
Tusubri tuone